Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Hii itakuwa kazi na utapeli na siyo kazi na utu#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Unafiki tu. Hata hajui kule jikoni wanahitaji kitu gani!#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
hapo nzega kuna kanisa la ufufuo na uzima mwezi sasa hawajaabudu, pengine wangemuombea hata kumuombea tu ila amewanyima haki yao ya kuabudu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
View attachment 3410145