Utalii uko chali, wanataka kuunda propaganda, kama zile tuzo za kununuaYaani Rais anazindua hotel badala ya waziri wa utalii au viwanda?!
Kuna sheria inayomzuia kufanya hivyo?Yaani Rais anazindua hotel badala ya waziri wa utalii au viwanda?!
Yawezekana inamuhusu!Yaani Rais anazindua hotel badala ya waziri wa utalii au viwanda?!
Nyerere alizindua sekondari ya katoliki badala ya kumuachia waziri wa elimu padre chiwangaYaani Rais anazindua hotel badala ya waziri wa utalii au viwanda?!
Ni yeye au AI?Hangaya anaanza kutesti mitambo kwa hotuba ndogondogo za kijinga akiwa huko Kunduuchi na kusikilizia mwitikio wa watanganyika kabla hajaja huku..
Nyerere alizindua shule ya sekondari uchama kule nzega 1970sRaisi wa nchi anazindua hotel, how low has she stooped!!!
2023 si dp world ikaingia na waliokushikia akili akina kitima wakakutia chuki dhidi yakeRais Samia alikuwa bomba sana 2021-2022 nilikuwa namkubali balaa!, sijui shetani gani alimwingia baada ya hapo hadi akawa gaidi ivi kama alivyo saiz!.
Alijichanganya kucheka na nyani, mda wa kuvuna mabua umefika sasaRais Samia alikuwa bomba sana 2021-2022 nilikuwa namkubali balaa!, sijui shetani gani alimwingia baada ya hapo hadi akawa gaidi ivi kama alivyo saiz!.
Umesema 1970s, can you relate? Au ni kichwa nazi....Nyerere alizindua shule ya sekondari uchama kule nzega 1970s