Rais Samia akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora, Zanzibar

Umesema 1970s, can you relate? Au ni kichwa nazi....
Tazama ulivyo pang'ang'a!!.. tunazungumzia muda au cheo na tukio!?
Waziri wa elimu 1990 alifungua karakana ya useremala FDC singida
 
Rais Samia alikuwa bomba sana 2021-2022 nilikuwa namkubali balaa!, sijui shetani gani alimwingia baada ya hapo hadi akawa gaidi ivi kama alivyo saiz!.
Ujinga mwingi uliingizwa kwenye siasa za kitanzania kwa mwavuli wa demokrasia.
 
Huyu manzi kashaanza maigizo
Hahahahahaaaaa. Mkuu haigizi anajituma sana. Sasa hivi anafyeka mapori kwa ajili ya kilimo. Licha ya Mungu kumjalia umbo na uzuri ni mchapa kazi na mfano wa kuigwa kwa vijana.

Vale Nafaka ni nuru, nembo na dira ya taifa letu.

adriz de Mafwele
 
GDP ya Tanzania ya mwaka 1970 ilikuwa kiasi gani na ya sasa ni kiasi gani? Nyerere alikuwa anatembea na msafara wa magari 100 mwaka 1970?
Tena mabenzi kwa vigogo wote serikalini,leo wanatumia Toyota mnalia
Nyerere alinunua gari ghali la rais Royce rolls bei kisu kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…