Hata hivyo hatuvutiwi sana na habari za wauaji.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu , ambapo uzinduzi wake utafanyika Makao Makuu ya
Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO )
More to follow:
Haters wa Samia kwani amenunua kwa mshahara wake?Kama naiona mihaters ya Samia inavyotokwa na jadho kwenye Pichu zao๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Aisee mama anajua kutesa huyu!!
Saved for future referenceUna report yoyote hapo au ushahidi? Samia tunaye na tunatamba naye mpaka 2035
๐๐๐๐๐๐๐คช๐Mpoto ni chawa wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania, inaonekana pumbu zake ziko mattakoni
Sio kweli. Wafuatiliaji wazuri wa Habr za Samia ni CHADEMA na ndio wanaoongoza kwa uchambuzi wa kila atakachosema au kukifanya Samia.Hata hivyo hatuvutiwi sana na habari za wauaji.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐๏ธSio kweli. Wafuatiliaji wazuri wa Habr za Samia ni CHADEMA na ndio wanaoongoza kwa uchambuzi wa kila atakachosema au kukifanya Samia.
Hata ikitokea Samia akapiga kimya wiki tu na CHADEMA ndio wanaokuja mbio jukwaani kuanzisha nyuzi za Samia yuko wapi!
Kwani uongo?๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐๏ธ