Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
View attachment 3513076
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
View attachment 3513076
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Ka motion picture mbona hakuna?View attachment 3513076
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Waziri wake wa mambo ya nje juzi alishindwa kumaliza soo? Inaonekana mambo ni magumu mpaka amekutana naye mwenyewe.Who are you??? Huyu Mama ni kichekesho
Timewathutisha kwa vipi?Niliwaambia juzi, tumewathubutisha waue tena kesho.... mngejua watu walivyo standby... wamejipanga kuua tumejipanga kuwafunga!
Huyu Balozi wanaongea nini na muuaji! Marekani asituletee za kuleta hapaUbalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.
View attachment 3513082
Nadhani kuna mpasuko huko serikalini. Ni wazi mambo hayapo sawa katika mfumo mzima wa utawala wa nchi kwa sasa. Inawezekana ni presha inayomkabili kila mmoja lakini pia inawezekana ni kuhujumiana.Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?
Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?