PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mafisiemu hata kama israel mtoa roho akija watataka picha na wao watasema walikutana na ujumbe wa Mungu na kufanya naye mazungumzo yenye nia ya kujenga.

D9 ni kesho kama jakuaga basi hatopata nafasi nyingine.

Tukiwashe kwa nguvu zote.
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
 
Akili za kuambiwa unachanganya na zako, maisha uanaendelea.
 
Hii mwalimu wangu wa history alisema inaitwa Pax americana...
 
Uko TikTok watu wanazusha amekufa.
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Kabisa
 
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Huyo hatambuliki
 
Mmmh hii haijakaa poa kabisa..
 
Tuna rais wa hovyo hata sura yake si ya kirais bali kirahisi
 
Zile sio hotuba Ile ni michambo ya kuchemshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…