PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Hahaha mange ni jenerator la imeme au anafua maji mletewe?
 
Lengo la kuchoma hivyo vitu ni nini? Lengo la kuwa na silaha ni nini?
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Nakwambiaje. Hata Samia aitoe Tanzania yote kwa Marekani Mange hawezi rudishwa Tanzania.

Mnadhani Marekani ni kama Sinza kwa Mtogole eeh?
 
Sincerely I need this motion .
Mimi siyo muumini wa maandamano ya amani kabisa. CCM, polis na jwtz WANAHITAJI NGUVU YA M23.

Tuna muhitaji Kagame sana katika hili
 
Alafu huu umeme mliokata ndo maandalizi ya kesho wafe kimya kimya au.
 
wewe tungekushika ungekuwa viungo vya mbonga baada ya kuliwa boga mwaka mzima
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
hiyo naweza kukuamini
 
Hii ilibidi iwe pinned kwa Sasa Nazani wao ndo wanamatter
 
Chupa ya ngapi hii
 
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Iko sawa maana sio rais huyo hakuchaguliwa maana tarehe 29 hakukua na uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…