PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
SAMIA AMESHA FARIKI...!HIYO NI PICHA YA ZAMANI
 
Acha bangi mkuu 🤣
 
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Kuna ambayo nimeyaona na Hilo likiwemo nikasita kuuliza, Asante umeniwakilisha
 
Siyo kweli
Taarifa kamili ni
Leo, Kaimu Balozi Lentz alifanya mazungumzo ya wazi na yenye tija na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya sasa na mustakabali wa uhusiano rasmi kati ya Marekani na Tanzania
Nendeeni kwenye x(Twitter) ya US embassy
Wajinga sana hawa,wanatengeneza propaganda
 
Leo, Kaimu Balozi Lentz alifanya mazungumzo ya wazi na yenye tija na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya sasa na mustakabali wa uhusiano rasmi kati ya Marekani na Tanzania
 
Hapo unamkomoa nani?
 
Leo, Kaimu Balozi Lentz alifanya mazungumzo ya wazi na yenye tija na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya sasa na mustakabali wa uhusiano rasmi kati ya Marekani na Tanzania
Hii ndiyo taarifa ya kweli nyingine ni propaganda, kama hamuamini nenda X kwenye Ukuras US embassy.
 
Leo, Kaimu Balozi Lentz alifanya mazungumzo ya wazi na yenye tija na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya sasa na mustakabali wa uhusiano rasmi kati ya Marekani na Tanzania
 
analazimisha tabasamu lakini wapi....
 
Niliwaambia juzi, tumewathubutisha waue tena kesho.... mngejua watu walivyo standby... wamejipanga kuua tumejipanga kuwafunga!
Siwaamini USA hata kwa bahati mbaya.

USA, maslahi kwanza. Kumlinda kumtetea nyani mtu kwake haipo.

Kaa ndani au jiandae kuomboleza bila kumzika nduguyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…