JamiiCheckUbalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.
View attachment 3513082
wenzake wanakutana na Raisi na viongozi wa juu Mama mwizi wetu anakutana na naibu balozi
View: https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=7APGYp7FzqIfPaXh
View: https://youtu.be/1n-h-N25P3E?si=PTKrmI_Nl9zXm29Z
Kaa kwa kutulia mtoto mdogo weweJioni ndio hii hotuba kwa nani na kwa nini?
Watu wamevurugwa kwa sasa waacheni tu.Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?
Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
'Who are you' tena!? kweli maskini hana kiapoUbalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.
Soma Pia: Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji
View attachment 3513082
Kuna namna hapo si bureWatu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?
Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
We endelea kupika tu utaunguza chakula mlale njaaKuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...
Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Alafu wananchi waishije?Wanachofeli Gen Z.
1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,
3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Kwa uweza wa LuciferAlafu wananchi waishije?
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Ipo sawaWatu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?
Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Viongozi mahiri kama Nyerere alipata kusema haya, kumbukumbu kutoka intaneti / youtube
TOKA MAKTABA
Nyerere asema mataifa makubwa yana uwezo wa kutia mbinyo ili mabadiliko yapatikane
View: https://m.youtube.com/watch?v=d3LQ5RrYga4Mwalimu Nyerere anatambulika kama Mwanamajumui na Baba wa Ukombozi wa Nchi za kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla, jitihada zake katika kuzisaidia nchi za kusini kutoka kwa ukoloni ndizo zilizomsaidia sifa hiyo, msikilize hapa akihutubua wananchi nchini Tanzania mwaka 1964 kuhusu juhudi zake katika kuzisaidia Angola na Msumbiji kujinasua katika ukoloni wa Wareno...
Huyu mama, walio karibu naye wamchunguze na kumfuatilia sana. Kuna siku badala ya kutoka amevaa ushungi kichwani, mnaweza kumwona amevaa underwear kichwani! Anakoelekea ni giza totoro.Who are you??? Huyu Mama ni kichekesho
CCM na viongozi wake wameiweka Tanzania katika hali inayohatalisha sana usalama wa taifa.
Sasa hivi viongozi wamejenga mazingira ambayo wanaweza kupewa mawazo na mashinikizo ambayo hawatakuwa budi kuyakubali ili wao au taifa lipone.
Katika mazingira tuliyopo, Rais anaweza hata kuwa "blackmailed" na baadhi ya watu wa ndani au wa nje.
Nyakati kama hizi zinahitaji watu wenye "superior intelligence" ili kujua nini cha kufanya kuliokoa taifa.
NB. Nadhani leo jioni Samia atatoa hotuba. Stay tuned!
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imesaini hati ya Makubaliano ( MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics ( AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni tanzu ya MSC, kwa ajili ya usanifu, Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu katika Bandari ya Bagamoyo.
Hati hii ya makubaliano ( MoU) imesainiwa tarehe 6 Disemba,2025 Makao Makuu ya TPA Jijini Dar es Salaam kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Bw. Plasduce Mbossa na Rais wa AGL Philippe Labonne.
Bw. Mbossa amesema, kusainiwa kwa hati ya Makubaliano ni ishara ya utayari wa kuanza kwa mradi wa Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo kwa kuanzia AGL itaanza usanifu na Ujenzi wa gati tatu mpya za Kisasa kati ya 28 zinazotatajiwa kujengwa katika Bandari hiyo pamoja na gati mbili mpya za Kisasa katika Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa upande wake Rais wa AGL Bw. Philippe Labonne anasema wameamua kuingia makubaliano na TPA na kuwekeza Tanzania kutokana na kuwa nchi yenye Amani, Usalama na mazingira bora na tulivu ya uwekezaji iliyosehemu sahihi kijiografia kwa Sekta ya Uchukuzi na kuwa lango la Biashara Kitaifa na kimataifa.
Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa gati mpya tatu utasanifiwa na kujengwa kwa miezi 36 ( miaka mitatu) na Kampuni ya AGL imepata nafasi hii ya kushirikiana na TPA katika Ujenzi huo kutokana na uzoefu wao kama kampuni kubwa ya huduma za usafirishaji na logistiki, inayotoa huduma kamili za usafirishaji, usimamizi wa mizigo, usafirishaji wa kimataifa na huduma za forodha, ikiwa sehemu ya kundi la kimataifa la AGL (zamani Bolloré T&L) na sasa wakiwa chini ya MSC.
With a 240-metre quay and 11 metres of draught, the port is part of a local development strategy that will benefit local communities and includes a training programme for the company’s employees. The company will also draw up an action plan to reduce the terminal’s environmental impact.«WE ARE HONOURED BY THE TRUST THAT ZANZIBAR’S HIGHEST AUTHORITIES HAVE PLACED IN AGL, AND THIS FORMAL COMMISSIONING CEREMONY IS PROOF OF THEIR INTEREST. FOLLOWING THE LAUNCH OF OPERATIONS ON 18 SEPTEMBER 2023, WE HAVE MOBILISED ALL OUR TEAMS AND DEPLOYED THE NEW RELATED TOOLS IN ORDER TO IMPROVE PRODUCTIVITY AT THE PORT OF MALINDI. THANKS TO THE SUPPORT OF OUR 400 DIRECT EMPLOYEES, WE BELIEVE THIS PORT WILL MAKE A CONTRIBUTION TO THE GROWTH OF THE LOCAL ECONOMY» said Nicolas Escalin, Managing Director of ZMT
TOKA MAKTABA:
19 October 2023
Unguja, Zanzibar
ZMT, the company created by Africa Global Logistics AGL to manage and develop the terminal serving the million women and men who live in the Zanzibar Archipelago.
From Zanzibar to Bagamoyo
Official commissioning of Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT)
On 18 October 2023, the Head of State of the People’s Republic of Zanzibar, H.E. Hussein Mwinyi, officially commissioned the Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) in the presence of Philippe Labonne, Chairman of AGL, the Zanzibar port authorities and Nahaat Mahfoud, Managing Director of the Port Authority, Zanzibar Ports Corporation.
This ceremony marks the formal launch of the activities of ZMT, the company created by Africa Global Logistics to manage and develop the terminal serving the million women and men who live in the Zanzibar Archipelago.
The ZMT management contract signed on 18 May 2023, following a call for tenders, will provide the country with a competitive infrastructure which, combined with AGL’s experience in port operations, will enable the country’s imports and exports to be carried out to the highest levels of quality, safety and security, in accordance with international standards. With the assistance of the MSC Group, of which AGL is a member, ZMT will help to streamline trade in the region and boost the attractiveness of Zanzibar, while accelerating the country’s economic development.
The Zanzibar Multipurpose Terminal is committed to implementing an investment plan. The company will build an external container emptying area to relieve congestion in the port of Malindi, as well as renovating and updating infrastructure and equipment. The aim is to increase the volume of goods handled at the port of Malindi.
With a 240-metre quay and 11 metres of draught, the port is part of a local development strategy that will benefit local communities and includes a training programme for the company’s employees. The company will also draw up an action plan to reduce the terminal’s environmental impact.
ABOUT ZANZIBAR MULTIPURPOSE TERMINAL (ZMT)
ZMT is the operator of the Malindi terminal in Zanzibar. Its principal shareholders AGL, a major player in the transport and logistics industry in Africa, and SEGA Logistics, its local partner, have ambitions to make the port of Malindi one of the leading ports in East Africa. An investment plan is being implemented to provide Zanzibar with modern infrastructure. Maintaining and developing the jobs and skills of direct and indirect employees is a strategic area of development for this port platform, which will benefit from the experience of AGL, a member of the MSC Group and the leading operator of port concessions in Africa
Ikiwa na ghuba ya mita 240 na mita 11 zilizo rasimu, bandari ni sehemu ya mkakati wa maendeleo wa ndani ambao utafaidi jamii pana na inajumuisha programu ya mafunzo kwa wafanyakazi wa kampuni. Kampuni ZMT / AGL pia itaunda mpango wa utekelezaji ili kupunguza athari za mazingira za kituo hicho.«TUNA HESHIMA KWA UAMINIFU AMBAO MAMLAKA KUU ZA ZANZIBAR WAMEWEKA NDANI YA AGL, NA SHEREHE HII YA UTUME RASMI NI UTHIBITISHO WA MASLAHI YAO. KUFUATIA UZINDUZI WA OPERESHENI TAREHE 18 SEPTEMBA 2023, TUMEHAMASISHA TIMU ZETU ZOTE NA KUPELEKA ZANA MPYA ZINAZOHUSIANA NAZO ILI KUBORESHA TIJA KATIKA BANDARI YA MALINDI. SHUKRANI KWA MSAADA WA WAFANYAKAZI WETU WA MOJA KWA MOJA 400, TUNAAMINI BANDARI HII ITATOA MCHANGO WA KUKUZA UCHUMI WA NDANI» alisema Nicolas Escalin, Mkurugenzi Mkuu wa ZMT.
Mikataba haijasainiwa bado, hayo ni mambo yalivyokuwa kwenye negotiation ndo Tanzania imeahid itsmaliza haraka majadiliano Ili mikataba isainiweKuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...
Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...