Pre GE2025 Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We na we hopeles, hujui kama inategemea na agenda???? Ambigwiliti....

We huoni agenda ni ya kumsema yeye mwenyewe sasa hapo anaongozaje kikao??

Ambrigutini wee!!
Uko sahihi kabisa. Hata CHADEMA wakati wanachagua mwenyekiti ilibidi waweke mwenyekiti wa muda. Ni utaratibu wa kawaida sana. Hapa hata ukimwangalia Samia unajua kabisa kuwa ana wasiwasi. Na ana wasiwasi kwa sababu kina Kikwete walikuwa wamepanga kutumia mwanya muda ambao mwenyekiti wa muda atakapoongoza kikao watose jina lake na kuchagua mtu mwingine. Kumbe hawakujua kuwa Magufuli anadukuwa mazungumzo yao.
 

Humu asilimia 99 ni wale wanaoyatetea matumbo yao. no else

hamna akili humu
 
Mimi ni mwana CCM kiukweli walichofanya kwenye huo mkutano ni kubaka Demokrasia. Kulazimisha jambo hilo ni ishara kuwa Samia hakubaliki ila wanalazimisha tu. Sijajua yatakayojiri lakini huko mbele kuna tabu.
 

Magufuli mgombea urais CCM 2015​

12 Julai, 2015

Dr. John Magufuli mgombea kiti cha rais wa CCM akingia ukumbi wa mkutano wa CCM
Chama tawala nchini Tanzania - CCM

- kimemteua aliyekuwa Waziri wa Ujenzi nchini humo Dr. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2020.


Mkutano mkuu wa chama hicho uliokutana mjini Dodoma ulimteua Magufuli kutoka miongoni mwa wagombea watatu kwa kura 2104 au asilimia 87.1 ya kura zote, Balozi Amina Salum Ali alitokea wa pili kwa kura 253 au asilimia 10.5 wakati Waziri wa Katiba katika serikali inayoondoka madarakani Asha Rose-Migiro alipata kura 59 au asilimia 2.4 ya kura zote.


John Magufuli sasa atapambana katika uchaguzi mkuu na wagombea wa upinzani au muungano wa upinzani - UKAWA - ambao wanatazamiwa kutangaza mgombea wao baadaye wiki hii.
Dk. Ayub Riyoba azungumzia matokeo ya mkutano wa CCM
Utaratibu wa kupata mgombea kwa chama cha CCM ulikuwa mrefu baada ya kuanza na wagombea zaidi ya 40 lakini katika siku tatu za mikutano mjini Dodoma chama hicho haraka kilipunguza wagombea hao kuwa watano - Magufuli, Amina Salum Ali, Asha Rose Migiro, Bernard Membe na January Makamba.
Katika ngazi iliyofuata Membe na Makamba waliangushwa na kubakia wagombea watatu walioingizwa katika mkutano mkuu wa wajumbe wa chama na kupigiwa kura
 
Hapa JK aliongoza mkutano huo kwa sababu hakuwa mgombea Bali yeye alikuwa anaachia kiti
 
Lakin wajumbe si ndo hao hao. Wamepunguza gharama.

Ila wajumbe bana hawajui kabisa kuwa na mipanga ya kupiga hela. Wao wangesema wakutane may kupitisha wagombea urais walau wale fedha sasa watakula wa chiya.
 
Hv jitu zima na mapumbu yako unajisikiaje kuandika uharo km huu? Km hujui siasa kafanye mambo mengine. Umeandika upuuzi tena kishamba. Samia alitoka mara 2, wakati wa kupiga kura na wakati wa kutangaza matokeo. Uwe unaona ht haya kuandika upumbavu km huu. Ht angekuwepo angejuaje ambaye hajampigia wakati karatasi ya kura inawekwa kwenye bahasha na kutumbukizwa kwenye sanduku. Katumie ht common sense we bwege.
 
Wanapomjadili yeye Samia alitakiwa atoke. Yeye ndio alikibadilisha kiwe cha kumjadili yeye, kupitisha wagombea wa urais wakati jukumu lake halikuwa hilo.

Angeweza kusema hiyo sio agenda ya mkutano huu.

Haruhusiwa kuendesha kikao wakati wanajadili jina lake. Anateuliwa mwenyekiti wa muda na kuongoza.

Weka ushahidi
We na we hopeles, hujui kama inategemea na agenda???? Ambigwiliti....

We huoni agenda ni ya kumsema yeye mwenyewe sasa hapo anaongozaje kikao??

Ambrigutini wee!!

Ule mkutano hauna nguvu ya kumjadili mwenyekiti,

Ndio maana haruhusiwi kutoka nje, maana yeye ndie ana uongoza mkutano.

mkutano ambao una nguvu ya kumtoa nje samia na kumjadili ni kikao cha sekretarieti ya maadili na kikao cha kamati kuu.

Ule mkutano wa kina kibajaj na wajumbe maelfu. Hauna nguvu ya kumtoa nje na kumjadili Samia.

Ccm wenye nguvu ya kumjadili Rais ni watu wachache sana kama 35 hivi, ambao ndio wanaitwa kamati Kuu
 
Wagombea urais mwezi January 2025, kabla ya kupewa fomu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…