Hoja zake hazijibiki linapokuja swala la kushika dola!!ni kazi kweli kweli!!View attachment 3303931
Jibuni HOJA za Lissu.
πππ Lakini Baba akiangalia tu..watu wanaomba msamaha...hatuhitaji hata kuongea.Ila kumbe vitisho vya mwanamke huwa havitishi, ndo maana hata mie nikitia mkwara kwa madogo hamna anaerespond.
Kabisaπππ Lakini Baba akiangalia tu..watu wanaomba msamaha...hatuhitaji hata kuongea.
Mwalimu alikuwa mwongeaji tu. Enzi zake waliotaka kumkosoa walikiona cha moto.
Hautishwi. UNAKUMBUSHWA
Tunajua anamsema Lissu - kwa namna ambayo tunaona her true colours sasa. Nyekundu kama damu.No Reforms No Election [emoji91]
Hii ni nchi yetu sote tusitishane!
Ulikuwa ni mfumo wa Chama kimoja sasa utakosoa nini?!Mwalimu alikuwa mwongeaji tu. Enzi zake waliotaka kumkosoa walikiona cha moto.
π―ππππSamia: Katiba ni kitabu tu!
SAMIA MUST GO!
Unaweza ukadhani ni muimba nyimbo za pwani kumbe ni raisi wa inchi fulani