Kwenye Internet kile unachoandika kwanza ndiyo unaletewe kwenye keyboard. Kama unaandika sana neno Tanzania, ukianza na Tan tu utakuta linakuletea Tanzania.Hujasoma. Unapaswa uelewe fasihi. Tunaita lugha linganifu au symbolic language, kama vile kusema sheria imenajisiwa. Wewe unawaza mambo ya uume tu?
kuna prezdaa dikteta Kama Ticha bongo hiiMwalimu alikuwa mwongeaji tu. Enzi zake waliotaka kumkosoa walikiona cha moto.
Nimesema hujasoma. Internet haileti neno kwenye keyboardKwenye Internet kile unachoandika kwanza ndiyo unaletewe kwenye keyboard. Kama unaandika sana neno Tanzania, ukianza na Tan tu utakuta linakuletea Tanzania.
Hata instagram kama unaangalia sana picha za real Madrid au Liverpool, kila ukifungua page ndizo utaona nyingi zimejaa.
Hivyo hivyo kwa binadamu kile ulichozoea kufanya sana ndicho kwenye mfano kitakuja cha kwanza.
Ulipolinganisha mfano wa kutembelewa Lissu na Samia huko Belgium na mambo ya kuingiliwa nyuma, ina akisi tabia yako uliyonayo ya kuingiliwa nyuma. Hakuna cha fasihi hapa.
Wanaohamasisha uasi.Lisu na Lema
HakikaNo reform no election - hapo ndipo tulikuwa tunapataka, masuala ya kutishana hayapo kwa sasa ..kama.kufa hakuna atakaye ishi milele kwani jiwe kaenda wapi? alitaka?
Katiba hiyo hiyo iliyokupa mamlaka wewe ndiyo hiyo hiyo inawapa na wenzako haki ya kudai wanachostahili katika taifa lao huru.
Sasa kama.kudai haki ya kuwa na tume huru ya uchaguzi unaita chokochoko - bac twende kazi october si mbali.
Unadhani "predictive text" inakujaje?Nimesema hujasoma. Internet haileti neno kwenye keyboard
Predictive text combines statistical analysis, context, and personalized learning to improve your typing experience.Nimesema hujasoma. Internet haileti neno kwenye keyboard
ndo maana wenye akili walijitoa JF Great Thinkers, nilikuwa JF sijachangia kwa miaka miwili those days wapo kina Ulimwengu, nk...tulikuwa tunajifunza kwa most sernior, Mmetuharibia JF as Home of Great Thinkers. Mnaleta mipashoMatokeo ndio hayo!Lisu kapuni!Wengine wanafuata!
Tukubaliane na ukweli ccm ndio chama tawala.cha kudumu
Kwa hiyo unakiri kuwa kati ya wasio na akili na wewe umo!! Maana hujajitoa JFndo maana wenye akili walijitoa JF Great Thinkers, nilikuwa JF sijachangia kwa miaka miwili those days wapo kina Ulimwengu, nk...tulikuwa tunajifunza kwa most sernior, Mmetuharibia JF as Home of Great Thinkers. Mnaleta mipasho
Home is home, sikia hii, kipindi hicho zingeletwa hizo Sheria alizotaja, pili ingetafutwa uhalali wa Sheria na matumizi yakeKwa hiyo unakiri kuwa kati ya wasio na akili na wewe umo!! Maana hujajitoa JF
daah nakereka ujue, anatukera sanaKwani tokea lini Mtanganyika akawa na sauti kwa Wazanzibari!? Sa100 ni Mzanzibari kwanini anatupiga mkwara namna hii watanganyika!?
Yaani ni sawa na Dr. Mpango akawachimbe mkwara watu wa Ngome Kong Kongwe 😔 Ni jambo la kijinga kuwahi kutokeadaah nakereka ujue, anatukera sana