johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siyo kwamba mnatetea urais kwa kupenda. Samia ndiye kashika rungu la uenyekiti, hivyo anaamrusha nn kifanyike.2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Hakuna mwanaccm asiyefahamu ni Samia mitano tena, Bali kinachoendelea ni settings za matumbo yasibaki empty.Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030
2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi
2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Happy New Year
Mjinga ni wewe ambaye unaamini kwamba urais ni WA CCM pekee na kwamba ukishakuwa mwenyekiti wa CCM basi ni Hadi 2030. Hakika wewe ni mjinga na kama nchi hii inawajinga wengi kama wewe basi kazi ipo.Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030
2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi
2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Happy New Year
Lowassa akikusoma hapa atacheka mnoMjinga ni wewe ambaye unaamini kwamba urais ni WA CCM pekee na kwamba ukishakuwa mwenyekiti wa CCM basi ni Hadi 2030. Hakika wewe ni mjinga na kama nchi hii inawajinga wengi kama wewe basi kazi ipo.
2022 Nafasi zote za Uongozi wa CCM zilikuwa Wazi kikatiba hivyo ukafanyika uchaguzi kuanzia Shimano hadi TaifaniNdugu Samia Suluhu alipitishwa mwaka 2022 na MM Taifa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CCM baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kutokana na kifo cha JPM. Lakini kuhusiana na suala la urais wake hakuna kikao chochote kile kimewahi kumpa idhini ya kugombea nafasi hii.
Si kikao cha KK, Halmashauri Kuu ya Taifa wala MM Taifa wa chama chake kimewahi kufanya hivyo. Aliyepewa ridhaa hiyo na vikao hivi ni JPM. Sijui katiba ya CCM inasemaje kuhusiana na hili, lakini mimi naona ni kinyume hata na mila na utamaduni wao.
Mwaka 2015 zilitolewa fomu nyingi, mwaka 2920 ilitolewa fomu moja ili kumpisha JPM amalizie awamu yake. Sasa 2025 zinapaswa zitolewe nyingine nyingi ili makada wapimane ubavu kwa ajili ya kumpata yule anayekubalija zaidi. Acheni uoga, kama Samia anakubalika sana ndani ya chama chake, basi si aache taratibu zichukue mkondo wake!
Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030
2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi
2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Happy New Year
Hata ukimfufua atakufa tena. Tanzania iko salama mikononi mwa Rais SamiaR.I.P JPM usingekufaaaaa
Kugoma ndani ya CCM haiwezekaniKatiba yetu ndiyo iliyompa yeye Urais wa nchi baada ya kifo cha Rais Magufuli. CCM haikuwa na choice yeyote bali ni kumchagua awe mwenyekiti wao ili kuendeleza ule uonga wao kwamba Mwenyekiti wa CCM ni lazima awe Rais wa nchi ili chama kiwe salama.
Mtoa hoja unafikiri hatujui kwamba kuna kundi lilitaka kugoma ila dola ikashughulika nalo kimya kimya. CCM hakuna demokrasia bali kuna mkono wa chuma.
Hilo liko Wazi Kabisa bwasheeKwa hivyo alishapitishwa na chama kuwa mgombea? Ndio maana kampeni zimeanza mapema.