Rais Samia alipokutana na Tundu Lissu mjini Brussels Ubelgiji mwaka 2022

Rais Samia alipokutana na Tundu Lissu mjini Brussels Ubelgiji mwaka 2022

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo, Mhe. Tundu Lissu, jijini Brussels, Ubelgiji, tarehe 16 Februari 2022.

Tukio hili lilikuwa sehemu ya ziara ya Rais Samia barani Ulaya, na lilichukuliwa na wengi kama hatua muhimu katika kuendeleza mazungumzo ya kisiasa na maridhiano kati ya Serikali na vyama vya upinzani. Muda mfupi baada ya hapo Mhe. Lissu na wanasiasa wote wa upinzani waliokuwa wakiishi nje ya nchi walirejea nchini

Soma pia: Ikumbukwe Tundu Lisu alipokutana na Rais Samia Ubelgiji ndiye alimuomba awaachilie Wafungwa wa kisiasa wa CHADEMA akiwemo Mbowe!

 
Back
Top Bottom