Rais Samia alisema Profesa Kabudi na William Lukuvi watafanya kazi Ikulu, imeishia wapi?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi.

Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme nyongo eti Lukuvi ana kazi yake Ikulu [emoji23][emoji23][emoji23], mkuu wa Serikali anadanganya je vipi hawa subordinates.

Mara ooh Stiglers Gorge mwezi wa nne, Mara ooh treni ya umeme 2021,
daraja la Busisi yani sarakasi tupu.

Screenshot_20220624-074315_1.jpg
 
View attachment 2270259
Haya matatizo chanzo chake ni idhaifu wa TISS.
 
Niliwaona Ikulu wanachapa kazi, inaelekea ulitaka uwaone Kariakoo au Magomeni, hata hivyo wanakusalimu sana.
 
Post zao za sasa ni za ofisini sio za field kama wakati ule...
 
Ukimfurusha 'kichaa' hakikisha unatupa na makopo yake.
 
Siasa ndivyo zilivyo, mambo yao waachie wenyewe...
 
Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi.

Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme nyongo eti Lukuvi ana kazi yake Ikulu [emoji23][emoji23][emoji23], mkuu wa Serikali anadanganya je vipi hawa subordinates.

Mara ooh Stiglers Gorge mwezi wa nne, Mara ooh treni ya umeme 2021,
daraja la Busisi yani sarakasi tupu.
Hawa watu wapo Ikulu, naona ulipitwa na hii.
 
Kabudi ana cheo tayari juzi alikuwa TPA kigoma akakaa zaidi ya masaa 3 na wakuu all in all alikuja na pisi 4 za moto kinoma na zimebakia hapa TPA na sitaki mazoea nazo bila shaka ni vipenyo waandamizi sio kwa figure zile [emoji847]
 
Watakuwa wanasogeza tofali pale Tcham-wino kukamilisha ujenzi wa New State House🏛️
 
Back
Top Bottom