Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Haya matatizo chanzo chake ni idhaifu wa TISS.Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi.
Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme nyongo eti Lukuvi ana kazi yake Ikulu [emoji23][emoji23][emoji23], mkuu wa Serikali anadanganya je vipi hawa subordinates.
Mara ooh Stiglers Gorge mwezi wa nne, Mara ooh treni ya umeme 2021,
daraja la Busisi yani sarakasi tupu.
View attachment 2270259
Niliwaona Ikulu wanachapa kazi, inaelekea ulitaka uwaone Kariakoo au Magomeni, hata hivyo wanakusalimu sana.Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi.
Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme nyongo eti Lukuvi ana kazi yake Ikulu [emoji23][emoji23][emoji23], mkuu wa Serikali anadanganya je vipi hawa subordinates.
Mara ooh Stiglers Gorge mwezi wa nne, Mara ooh treni ya umeme 2021,
daraja la Busisi yani sarakasi tupu.
View attachment 2270259
Upo sahihiHaya matatizo chanzo chake ni idhaifu wa TISS.
Ila wapo ikulu ipi maana kuna ikulu kila mkoa!.Post zao za sasa ni za ofisini sio za field kama wakati ule.
Tatizo wasukuma mnadhani Ikulu ni Chato.Niliwaona Ikulu wanachapa kazi, inaelekea ulitaka uwaone Kariakoo au Magomeni, hata hivyo wanakusalimu sana.
Hawa watu wapo Ikulu, naona ulipitwa na hii.Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi.