KERO Rais Samia alivyokuja Geita tulipata maji, tangu kaondoka shida imerudi palepale

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Unakumbuka Ile video Magufuli anaulizwa katika mkutano,hapa kwetu wakuu wakifika maji yanatoka,lakini wakiondoka maji yanakatika.
Magufuli anamwita mhandidi kujibu hilo swali.
Mhandidi anasema,"Viongozi wakija,tunaweka mabomba ambayo yanadumu kwa siku mbili au tatu halafu yanachakaa"
Ina maana Magufuli alimvua nguo mhandisi hadharani.
 
Mta
Mtahiniwa wenyewe si ndio nyingi mnaoshabikia ccm?sasa mnalialia nini?mkachote maji ziwani.mkiambiwa hiki chama hakifai hamuelewi.pigeni chini hao wabunge wa ccm lina bado mnawakumnatia sasa mpambano na hali zenu.chimbeni visima.
 
Hapo ndio ujue watu wanaweza kupata huduma zao akiwepo kiongozi makini.
Kwa sasa mpaka apatikane ndio mtapata hayo maji.
 
Pale katoro kuna wahaya, wamesahau mila na tamaduni? Hili sio jambo kubwa kwao
 
Ukute walijaza kwenye sim tank na maboza tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…