Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
NAHESHIMU KAZI YANGU, NDIO INAYONIWEKA MJINI
Na Comrade Ally Maftah
Nimpongeze Dr Samia Suluhu Hasan, kwani upendo wake unatupa amani kubwa sisi wajasiliamali kuendelea na shughuli zetu, Dr Samia ametufungulia nchi, ametuondoa wasi wasi, ametupa uhuru wa kuwasiliana, mitandao na biashara, kazi yetu ni kutovunja sheria tu, na hili tunalifanya kumfurahisha.
Juzi siku ya sabasaba nilibahatika kuona upendo wake kwetu, ni bahati ya kumsalimia na akaitika kwa bashasha.
Niwashukuru sana viongozi wa Chama cha Mapinduzi kwa kuendelea kutenda haki na kusikiliza wananchi, sehemu ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi tunapata muda wa kuzungumza kwa kubadilishana mawazo, CCM in hazina kubwa ya viongozi wenye upendo na maono.
Kipekee nimshukuru sana Mariam Lulida kwa kunishika mkono kila mara.
WITO WANGU
1. Uongozi wenye tija ni wa kuinuana kiuchumi, kifikra na kutatua changamoto
2. Tuwekeze kwenye mambo yahusuyo uzalishaji mali na chakula kwa kutumia mbinu za kisasa
3. Vijana tujikite kwenye utendaji badala ya malalamiko na manunguniko
Tuchape kazi, tujenge nchi, tumuunge mkono Rais Samia.
Ndimi Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA