chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa n'gadu.
Wanasiasa wajihadhari, watumishi wajihadhari. Usimchezee chatu, gongo usimtupie, utaukosa ushindi.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
- News Alert: - Utenguzi wa Baadhi ya Viongozi wa TTCL, Posta na UCSAF