MAMA BOMAYEEE
ikiwezekana wale wajinga awahamishe nchi mama kavurugwa πππBado wanaotandika kanga Kule Mtama. π
Atalanmba vichwa Viongozi wote WA Mtama. Kwa hili Mama kavurugwa.ikiwezekana wale wajinga awahamishe nchi mama kavurugwa πππ
Daraja la Busisi December linafunguliwaMama kapaniki sana, hii ni dalili ya mfa maji. Mama akitoboa 2025 nitakunya Uwanja wa Mkapa (a.k.a Lupaso).
HahahaMama yupo kitonga anashuka ukijichanganya Tu anakuletea Gari
Slogan ya mbwiga mbwigukeNaona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa n'gadu.
Wanasiasa wajihadhari, watumishi wajihadhari. Usimchezee chatu, gongo usimtupie, utaukosa ushindi
Orchestra safari sound.i. Usimchezee chatu, gongo usimtupie, utaukosa ushindi
Bado una maumivu ya wale unaowapenda kutenguliwa. Kupunguza maumivu inabidi ukubaliane tu na hali ilivyoMama kapaniki sana, hii ni dalili ya mfa maji. Mama akitoboa 2025 nitakunya Uwanja wa Mkapa (a.k.a Lupaso).