Sasa wewe si kila anayesema lisilokupendeza kwenye utawala wa JK na Samia unamwita mjinga, kwa maana hizo awamu zipo perfect ila wajinga tu ndio hujifanya kueleza yale yasiopendeza. Watu wameona JK alikuwa dhaifu wakasema ila wewe unawaita wajinga tu.