GE2025 Rais Samia amekumbana na mitihani mizito katika uongozi wake lakini ameishinda yote, Oktoba tunatiki mwanzo-mwisho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Serikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.

Changamoto hizo ni ifuatavyo.
1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.

2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa

3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.

4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli

5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.

6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli

7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.

8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.

Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
 
Franklin D. Roosevelt anakumbukwa kwa kupitia nyakati ngumu hadi kuiokoa nchi yake kutoka kwa great depression Samia anasemw kupitia magumu kwasababu anaaimbiwa aache Kuua innocent people in cold blood.

Watu weusi ni Nyani waliochangamka.
 
Serikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.

Changamoto hizo ni ifuatavyo.

1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.

2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa

3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.

4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli

5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.

6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli

7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.

8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.

Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
NRNE
 
Humphrey Polepole ana hoja nzuri sana, asikilizwe. Wahuni wamefanya zao kuanqzia kifo cha JPM mpaka uteuzi wa mgombea wa CCM nadasi ya Urais

Ametoa namba ya WhatsApp ya kuoigiwa simu +13057764396 kuuliza maswali
 
Serikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.

Changamoto hizo ni ifuatavyo.

1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.

2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa

3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.

4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli

5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.

6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli

7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.

8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.

Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
;
 
Kubwa jinga la mama lingine limefunguliwa tayari.

Mtihani gani huo mkubwa kuuza bandari na mbuga za Tanganyika?
 
Utatiki wewe na mama yako
 
Kondom moja tu ingetumika vizuri ingetusaidia kuondoa uchafu huu
 
Bado Moja tuu
 
Back
Top Bottom