1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Utakuwa unatiki matapeli na manyonyaji hiyo OctoberSerikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.
Changamoto hizo ni ifuatavyo.
1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.
2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa
3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.
4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli
5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.
6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli
7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.
8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
La wahuni as per PolepoleChaguo la Mungu
labda mkatikise viuno wenyewe, sie tunalinda kura zetu nyumbani zisinajisiwe na kura feki zenu!Serikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.
Changamoto hizo ni ifuatavyo.
1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.
2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa
3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.
4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli
5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.
6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli
7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.
8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
Mungu wa makobazi sindio! Rais gani analazimisha kupendwa wakati wananchi hawamtakiChaguo la Mungu
hata mkitiki, Mungu ndio mwamuzi wa yote. kumbukeni hilo na mwogopeni Mungu pia, yeye hatishwi na mabunduki yenu wala utekaji wenu wala kufungia makanisa mnakofanya.Serikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.
Changamoto hizo ni ifuatavyo.
1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.
2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa
3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.
4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli
5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.
6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli
7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.
8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
Mungu wa mbinguniMungu wa makobazi sindio! Rais gani analazimisha kupendwa wakati wananchi hawamtaki
hivi mnaposema hana uwezo mnaamanisha uwezo gani labdaHana uwezo..! Hata uandike gazeti la maneno 10,000 hayo maneno 2 ndio jibu lako.
Mungu hashikamani na mashetani huyo atakuwa mungu wenu waislamMungu wa mbinguni
Hajashinda hata kidogo. October hakuna uchaguzi. Wewe nenda katiki tako lako tuRais Samia ndio mtihani mkubwa sana kwa Tanganyika .
Ni bahati tu nchi ya kiislam ya Zanzibar walistuka mapema na kuunda serikali yao kama nchi kamili na wakafanikiwa kutuletea Rais kuwa mtihani kwa watanganyika.
Samia ni mtihani kwa Kikwete
Samia ni mtihani kwa usalama wa taifa .
Samia ni mtihani kwa Jeshi
Samia ni mtihani kwa Wakrsto
Samia ni mtihani kwa Wapinzani
Samia ni mtihani kwa CCM
Samia ni mtihani kwa Mahakama
Samia ni mtihani kwa baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki .
Samia ni mthani kwa wasomi
Samia ni mtihani kwa Jeshi la Polisi .
Samia ni mtihani mkubwa kwa waislam na wanazuoni wa kiislam wanashindwa kuamua kusimama na kitabu cha Mwanyezi Mungu na hadithi za mtume au kuwa chawa wa Samia kunusuru maisha yao na kupata pesa na misàda ya kujengewa misikiti .
Samia ni mtihani kwa Familia yake ndIo maana haambatani na mumewe kwanye safari na makongamano .
Samia ni mtihani mkubwa kwake mwenyewe .
Dira ya 2050 haijaandaa taifa lenye kizazi kinachopinga ushoga kwa vitendo .
Haina mkakati wa kupinga na kuzuia vitendo vya kishoga .
Zanzibar imejaa mashoga lakni wanaiba pesa kwenda kujenga mahateli ya kuvutia mashoga na mabasha kule ufukwani .
Mungu ataamua kwa haki ili aheshimiwe na kuogopwa .
Ushindi wa Samia ni anguko la wema katika taifa hili na kuonuka kwa ubaya na ushetani .
Hii ni vita kati ya Mungu na Shetani
"HANA UWEZO"Hana uwezo..! Hata uandike gazeti la maneno 10,000 hayo maneno 2 ndio jibu lako.
Ugumu kautafuta mwenyewe huyo hana maana kakubali kuwa kubaraka wa mafisadi na waarabuRais Samia ndio mtihani mkubwa sana kwa Tanganyika .
Ni bahati tu nchi ya kiislam ya Zanzibar walistuka mapema na kuunda serikali yao kama nchi kamili na wakafanikiwa kutuletea Rais kuwa mtihani kwa watanganyika.
Samia ni mtihani kwa Kikwete
Samia ni mtihani kwa usalama wa taifa .
Samia ni mtihani kwa Jeshi
Samia ni mtihani kwa Wakrsto
Samia ni mtihani kwa Wapinzani
Samia ni mtihani kwa CCM
Samia ni mtihani kwa Mahakama
Samia ni mtihani kwa baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki .
Samia ni mthani kwa wasomi
Samia ni mtihani kwa Jeshi la Polisi .
Samia ni mtihani mkubwa kwa waislam na wanazuoni wa kiislam wanashindwa kuamua kusimama na kitabu cha Mwanyezi Mungu na hadithi za mtume au kuwa chawa wa Samia kunusuru maisha yao na kupata pesa na misàda ya kujengewa misikiti .
Samia ni mtihani kwa Familia yake ndIo maana haambatani na mumewe kwanye safari na makongamano .
Samia ni mtihani mkubwa kwake mwenyewe .
Dira ya 2050 haijaandaa taifa lenye kizazi kinachopinga ushoga kwa vitendo .
Haina mkakati wa kupinga na kuzuia vitendo vya kishoga .
Zanzibar imejaa mashoga lakni wanaiba pesa kwenda kujenga mahateli ya kuvutia mashoga na mabasha kule ufukwani .
Mungu ataamua kwa haki ili aheshimiwe na kuogopwa .
Ushindi wa Samia ni anguko la wema katika taifa hili na kuonuka kwa ubaya na ushetani .
Hii ni vita kati ya Mungu na Shetani
Kesho jumapili mkienda kusali pale ubungo tutawapiga mnoMungu hashikamani na mashetani huyo atakuwa mungu wenu waislam
Inasaidia nini kuleta maendeleo kwa taifa? Hata panadol tu kituo cha afya mgonjwa ananunulishwa maduka ya dawa vituo vimebaki na vipimo vya malaria serikali inayo hangaika na mambo madogo ni serikali ya kijinga sana.Kesho jumapili mkienda kusali pale ubungo tutawapiga mno
Aibu naona mimi! Ila najua uko kazini mkuu hongera sana...buku7 si habaSerikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi.
Changamoto hizo ni ifuatavyo.
1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio lingine, Kitima hakuwahi kumkosoa Magufuli lkn ss hv kila akiamka anapambana na uongozi wa mama.Rais ameshinda vita hii baada ya kugundua malengo ya dini fulani dhidi ya utawala wake.
2. Kuna mtihani wa No reform no election, watu wanataka kuingia barabarani baada ya siasa kuwashinda, wakiongozwa na mabwana zao ulaya na ss hv wamemtuma awe anaongea kiingereza mahakamani ili umoja wa ulaya wamwelewe vzr na clip zake zisambae ulimwenguni ili kuipaka matope nchi.Hili nalo litapita, Oktoba tunatiki kama kawa
3.Usenge umefeli nchini, kumekuwa na mpango wa kuingiza ushoga nchini kupitia mabwana wa mhaini, mama amestand firm na amelikataa hili mwanzo mwisho, vita ameishinda.
4.Gwajima na kanisa lake kutaka kuyumbisha nchi, wakati wa Magu alikuwa mtulivu ss hv anajifanya mwanaharakati, amefeli
5.PM kuchukua fomu na baadae kutangaza hagombei, wanaharakati wamejaribu kuchokonoa lakini nchi haijayumba, uongozi uko imara na hili limepita.
6.Mpina kusema anamdai Rais kwenye ziara yake, hili limefeli baada ya Mpina kubiduliwa, limefeli
7.Yanga na Simba kuleta utoto wa Hatuchezi, mama kaingilia kati na jambo limeisha.
8.Polepole kutangaza kujiuzulu ubalozi na leo anaongea na vyombo vya habari, hili nalo litapitaaaaaa.
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ndio mpango mzima kwa sasa.
Naunga mkono mtandikwe Sababu Waumini gani nyie wanasiasa mkisikia kuna Dude linaamshwa door kike kiume mnapiga vigelegele nakusifu pia mungu wenu ¿¿¿Inasaidia nini kuleta maendeleo kwa taifa? Hata panadol tu kituo cha afya mgonjwa ananunulishwa maduka ya dawa vituo vimebaki na vipimo vya malaria serikali inayo hangaika na mambo madogo ni serikali ya kijinga sana.
Kachukue nafasi yake fasta kamanda, au vp?!Hana uwezo..! Hata uandike gazeti la maneno 10,000 hayo maneno 2 ndio jibu lako.