Abdulaziz Sadallah
Member
- Apr 13, 2019
- 57
- 55
Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu!
Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani kikatiba baada ya kufariki kwa aliyekuwa raisi wetu John. P. Magufuli, jambo hili linatosha kuthibitisha kwamba Mungu ameridhia nchi iongozwe na mama yetu. Na kila alifanyalo mama lina baraka za Mungu.
Faida za mama kushika hatamu;
1. Nchi imefunguka
Shughuli za kiuchumi baina ya nchi yetu na external world sasa ziko integrated, ni juu yetu sasa wananchi kuchakarika.
2. Hali ya kisiasa ni yenye kutia moyo
Mama amethibitisha kwa vitendo kuwa nchi hii ni yetu sote, siasa isiharibu udugu wetu. Raisi wa nchi anaweza kualikwa ktk mabaraza ya vyama vingine vya siasa na akahudhuria.
3. Raisi Samia ana maarifa mapana juu ya Dunia
Haitaji mkalimani kutafsiri nini kimesemwa na mataifa mengine kwani yeye binafsi ni fluent wa lugha za kigeni kama English, Arabic na Kiswahili. Hakuna ziara atakayo alikwa akaogopa kwenda kwa sababu za kimawasiliano.
4. Mtekelezaji wa miradi ya kimkakati
Miundo mbinu ya barabara na reli inaendelea kutekelezwa, wananchi tutasafiri salama katika kuusaka mkate wetu wa kila siku.
5. Huduma za kijamii kama elimu na afya
Shule zimeendelea kujengwa na madarasa kuongezwa, huku vituo vya afya na hospitali zimeendelea kujengwa nchi nzima naamini life expectancy ya mtanzania itaongezeka
6. Kiwango cha furaha miongoni mwa watanzania kimeongezeka
Tumeshuhudia hata wale waliokimbia nchi yetu kwa sababu hii au ile sasa hawana mashaka na baadhi yao wamerudi na wana nyuso za bashasha. Hii yote ni kwa sababu ya uongozi bora wa Mama yetu Samia.
Ndugu zangu watanzania tumtumie mama katika positive way ili kujiletea maendeleo.
Poleni sana kwa wale wataokwazika kwa hii thick thread ya 2023.
Please Jamii forum moderators, don't ban me for this fruitful thread.