johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
AminaJambo jema
Ni ufisadi wa kodi zetuKwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaoenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger
Source: Azam tv
kwani hawezi tumia pesa yake ya mshahara ama posho..??Hii bajeti imepitishwa wapi?
Ndg. Yangu hebu amka😆kwani hawezi tumia pesa yake ya mshahara ama posho..??
Siyo mbaya kutafuna miwa njiani au kula njiani unapokuwa unasafiri.Ila priority za huyu Rais jamani.Mweh.
Mpk 2025 mtakuwa mmeshalainika!Ila priority za huyu Rais jamani.Mweh.
Wewe utakuwa Makolo FC!Ila priority za huyu Rais jamani.Mweh.
wastage of public money wakati watoto hawana madawati. Magufuli typeKwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaoenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger
Source: Azam tv
Chadema hamtoshekagi!
naamkaje sasa, kwa hayo mawazo mgando yenu, kwamba yeye hapaswi kuwa shabiki na kufanya lolote katika mpira, mfano chukulia kwamba rais analipwa M 150 kwa mwezi (mimi sijui kama rais ana mshahara)...Ndg. Yangu hebu amka😆
... tujikumbushe ... RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA LA KUHAKIKI SILAHAKwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaoenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger
Source: Azam tv
Mimi si chadema, bali naungana na watetezi wa ustaw wa watoto wetu ambao ni chademaChadema hamtoshekagi!
Wahi ticket yako haraka mkuu, haina kuchelewa hiyoIla priority za huyu Rais jamani.Mweh.