Rais Samia amelipia ticket 5000 za Mashabiki watakaokwenda kuishangilia Yanga fainali ya CAF, 28/5/2023

Rais Samia amelipia ticket 5000 za Mashabiki watakaokwenda kuishangilia Yanga fainali ya CAF, 28/5/2023

Kwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaoenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger

Source: Azam tv
wastage of public money wakati watoto hawana madawati. Magufuli type

1684761521048.jpeg




 
Ndg. Yangu hebu amka😆
naamkaje sasa, kwa hayo mawazo mgando yenu, kwamba yeye hapaswi kuwa shabiki na kufanya lolote katika mpira, mfano chukulia kwamba rais analipwa M 150 kwa mwezi (mimi sijui kama rais ana mshahara)...

tiketi 5000 kwa ghrama ya 10000 kila tiketi maana yake ni kiasi cha m50 tu ndio kitatumika (5000*10000), sasa kama ana mapenzi ya mpira na kaamua kutoa robo ya mshahara wake kuna tatizo..??
 
Back
Top Bottom