BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kampeni zimeanza mapema sanaKwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaoenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger
Source: Azam tv
Anawekeza kule raia wanako penda, Ivestment za Kiswahili,Ila priority za huyu Rais jamani.Mweh.
Hii ni kampeniSiyo mbaya kutafuna miwa njiani au kula njiani unapokuwa unasafiri.
Kwani amesema hii ni priority? Si anaonyesha uunhaji mkono tu
Ni jambo zuri sana alilolifanya Rais wetu Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan, lakini hao mashabiki waliolipiwa hizo tiketi wamepatikana kwa njia ipi, asije akapigwa changa la macho na wajanja wa mjini, nadhani hili lingekuwa na uwazi zaidi.Kwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaoenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger
Source: Azam tv
Hana mshahara!?Hii bajeti imepitishwa wapi?matumizi madogo madogo kama haya alafu 2026 tunakuja kuambiwa na CAG mwingine triilion 1.5 imepelea[emoji38]
Sio kweli, huo ni mtazamo wako, hili ni jambo la kitaifa ni lazima kama Rais atoe sapoti kwa timu yoyote ile itakayofika hatua hii ambayo Yanga Africa Sports wamefanikiwa kufika.Hii ni kampeni
Umesahau rimoti iko wapi?Ila priority za huyu Rais jamani.Mweh.
Micheze nayo hasa football ni priority ya msingi kabisa Mkuu. Amefanya jambo jema na anatakiwa kufanya zaidi hasa kujenga miundombinu ya michezo. Taifa lisilo na hamasa ya michezo ni sawa na nyumba ya tajiri isiyo na watoto.Ila priority za huyu Rais jamani.Mweh.
Mgongo hauchoki kubebea maji watawala kila siku?
Huna mamlaka ya kumhoji Rais kwenye jambo kama hili lenye maslahi kwa taifa, kimsingi ni kwenda kuangalia mechi tiketi ushalipiwa.
Story za vijiweni zipuuze.Umesahau rimoti iko wapi?
Ni wapi bajeti ya ofisi ya rais huwa inapitishwa ?Hii bajeti imepitishwa wapi?matumizi madogo madogo kama haya alafu 2026 tunakuja kuambiwa na CAG mwingine triilion 1.5 imepelea😆
Mshahara wa raisi ni 9M labda kama amwjiongezea Kimya kimyanaamkaje sasa, kwa hayo mawazo mgando yenu, kwamba yeye hapaswi kuwa shabiki na kufanya lolote katika mpira, mfano chukulia kwamba rais analipwa M 150 kwa mwezi (mimi sijui kama rais ana mshahara)...
tiketi 5000 kwa ghrama ya 10000 kila tiketi maana yake ni kiasi cha m50 tu ndio kitatumika (5000*10000), sasa kama ana mapenzi ya mpira na kaamua kutoa robo ya mshahara wake kuna tatizo..??
Kwani hao wanaoenda huko sio vijana mbon mnapenda kuponda kila kitu, mfunze Mwanao apende soccer sasa na wewe unufaike na soccer kwani lazima wote tuwe mainjinia ?Assume tiketi ni 10,000
Jumla ni 50,000,000 hapa angeweza hata kuwainua vijana zaidi ya 10 na kuwapa mtaji wakajikwamua kimaisha.
“They got money for Soccer, but can’t feed the poor” [emoji119]
Shule hazina madawati nyinyi hamna viongozi ? Yeye atapita kila shule kukagua madawati ? Umesikia hio ndio kazi yake kukagua madawati ya shule ? Hua mnawaza nini mnapouliza maswali ya kijinga ? Umeona shule haina madawati anza na afisa elimu Kata nenda kwa afisa elimu Wilaya nenda na afisa elimu wa Mkoa nenda Halmashauri nenda kwa mkuu wa Mkoa fuatilia mpaka kwa Diwani wako na Mbunge wako uliemchagua we umeikalia kuna shule hazina madawatiiii.... FyokoHuyu maza anachefua sana sana tena sana!!!!!! kuna shule hazina hata madawati.....
Very shame! Watu hata mlo mmoja wa siku hawapati yeye analipia tiketi?Kwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaokwenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger
Source: Azam tv
Okay, na mafuta ya ndege ya kumsarisha Hayati Le Mutuz nayo Mama Samia katoa mfukoni mwake?kwani hawezi tumia pesa yake ya mshahara ama posho..??
Jo, kwani hizo tiketi wanapewa Chadema?Chadema hamtoshekagi!