Rais Samia amelipia ticket 5000 za Mashabiki watakaokwenda kuishangilia Yanga fainali ya CAF, 28/5/2023

sasa hoja yako ni ipi kati ya hizi, mafuta ya ndege ama tiketi za mechi ya mpira wa miguu..?? afanye nini na nini asifanye..??? je hizo pesa zishawahi vuruga bajeti ya sekta ama wizara yoyote..???
asiposapoti utasikia masubiri hadi timu ishinde ndio msapoti... kuweni na fadhila hata kwa uchache na si kila mara kulialia na kulalama, hiyo ni alama ya umaskini na kujitia laana
 
Yaan waduwanzi kila sehemu mbwa hawa kila unalofanya hawaoni jema wanatia kichefuchefu, yaan bi mother anatoa support makenge yanaponda yanatia hasira kishenzi, eti Pesa anatoa wapi kwa idhini ya nani nyinyi mnauliza km wakina nani ? Yeye ndio kiongozi anajua jinsi ya kusimamia na kuiendesha Nchi hii bila kuingia hasara zisizo na sababu ndio maana karuhusu tickets 5000 watu walipiwe waende kuhamasisha timu ishindeee, Mikia wanakataa hawataki mwambieni MO anunue wachezaji Ile Pesa mliyopata sio mnaleta makasiriko ya kiduanzi hapa
 
Ni ufisadi wa kodi zetu
Unajua VAT ya mapato ya mechi kubwa let say 600m ni kiasi inayotokana na viigilio uwanjani?

mmekariri kodi kwny kununua unga tu hata kwny michezo kuna kodi inakusanywa na kwenda kufanyia mengine ya maendeleo
 
Wewe ushindwe siku moja moja kupeleka chipsi za elfu 10 kwa watoto nyumbani wafurahi kisa ndio umeanza ujenzi au ndio January mwezi wa ada ?

watu wa namna yenu furaha huwa adimu sana kwny familia zenu
STUPID
 
Raisi ana uwezo wa kutumia hiyo pesa kutoka kwenye mshahara wake na malupulupu anayopata kila mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…