thatfunnyboy23 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 850 Reaction score 1,134 May 23, 2023 #61 nguvu said: Mbona zito kabwe alishasema hili, alitaja mishahara ya viongozi wote, rais anapata jumla ya mil29 hadi 32 kwa mwezi Click to expand... Nilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, Aya
nguvu said: Mbona zito kabwe alishasema hili, alitaja mishahara ya viongozi wote, rais anapata jumla ya mil29 hadi 32 kwa mwezi Click to expand... Nilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, Aya
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 May 23, 2023 #62 Queen virgo said: Nilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, Aya Click to expand... Rais hana utashi huo, alitaja mishahara ya viongozi wa juu, Rais, makamu, waziri mkuu, spika, mawaziri, manaibu na wabunge
Queen virgo said: Nilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, Aya Click to expand... Rais hana utashi huo, alitaja mishahara ya viongozi wa juu, Rais, makamu, waziri mkuu, spika, mawaziri, manaibu na wabunge
thatfunnyboy23 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 850 Reaction score 1,134 May 23, 2023 #63 nguvu said: Rais hana utashi huo, alitaja mishahara ya viongozi wa juu, Rais, makamu, waziri mkuu, spika, mawaziri, manaibu na wabunge Click to expand... Sasa mshahara wa raisi yeye kaujuaje?
nguvu said: Rais hana utashi huo, alitaja mishahara ya viongozi wa juu, Rais, makamu, waziri mkuu, spika, mawaziri, manaibu na wabunge Click to expand... Sasa mshahara wa raisi yeye kaujuaje?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 May 23, 2023 #64 Queen virgo said: Sasa mshahara wa raisi yeye kaujuaje? Click to expand... Kwa mtu kama level aliyofikia zito kujua mshahara wa raisi ni ishu kweli?
Queen virgo said: Sasa mshahara wa raisi yeye kaujuaje? Click to expand... Kwa mtu kama level aliyofikia zito kujua mshahara wa raisi ni ishu kweli?
thatfunnyboy23 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 850 Reaction score 1,134 May 23, 2023 #65 Shida anaweza nguvu said: Kwa mtu kama level aliyofikia zito kujua mshahara wa raisi ni ishu kweli? Click to expand... kuwa amesema lakini hilo halituthibitishii kwamba ni kweli, mpaka angeleta ushahidi
Shida anaweza nguvu said: Kwa mtu kama level aliyofikia zito kujua mshahara wa raisi ni ishu kweli? Click to expand... kuwa amesema lakini hilo halituthibitishii kwamba ni kweli, mpaka angeleta ushahidi
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 May 23, 2023 #66 Masikini hawaishiwi lawama
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 May 23, 2023 #67 Ticket moja ni shingap tuanzie apo kwanza