thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Nilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, AyaMbona zito kabwe alishasema hili, alitaja mishahara ya viongozi wote, rais anapata jumla ya mil29 hadi 32 kwa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, AyaMbona zito kabwe alishasema hili, alitaja mishahara ya viongozi wote, rais anapata jumla ya mil29 hadi 32 kwa mwezi
Rais hana utashi huo, alitaja mishahara ya viongozi wa juu, Rais, makamu, waziri mkuu, spika, mawaziri, manaibu na wabungeNilijua raisi mwenyew kasema kumbe ni zito, Aya
Sasa mshahara wa raisi yeye kaujuaje?Rais hana utashi huo, alitaja mishahara ya viongozi wa juu, Rais, makamu, waziri mkuu, spika, mawaziri, manaibu na wabunge
Kwa mtu kama level aliyofikia zito kujua mshahara wa raisi ni ishu kweli?Sasa mshahara wa raisi yeye kaujuaje?
kuwa amesema lakini hilo halituthibitishii kwamba ni kweli, mpaka angeleta ushahidiKwa mtu kama level aliyofikia zito kujua mshahara wa raisi ni ishu kweli?