OK noted
Mkuu karne ya ishirini na moja bado unawaza mambo ya dini
Kuna Dini nyingi hapa Tanzania na hao wahindu, Baniani wameshateuliwa
Watu kama hawa mbona sioni nafasi zao na ni Raia wanaishi upanga
Harishkumar Patel
Purihot Babla Patani
Veenay Prashant
Himashsinhi Praveen
Na mimi "Gussie Smart " ni Dini gani
Kuna muda yatupasa kujadili ideas na si kujadili majina ya watu
Nafasi ya kazi ni taaluma pia za watu, Huna taaluma ya madini unataka upewe nafasi
Mambo ya dini yajadiliwe huko makanisani na misikitini au kwenye Temples
Jina kama" Mwakatapanya Mwaitende Mwakafilombe" ni Dini gani huyu