Rais Samia amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini

Rais Samia amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini

OK noted

Mkuu karne ya ishirini na moja bado unawaza mambo ya dini

Kuna Dini nyingi hapa Tanzania na hao wahindu, Baniani wameshateuliwa

Watu kama hawa mbona sioni nafasi zao na ni Raia wanaishi upanga

Harishkumar Patel

Purihot Babla Patani

Veenay Prashant

Himashsinhi Praveen

Na mimi "Gussie Smart " ni Dini gani

Kuna muda yatupasa kujadili ideas na si kujadili majina ya watu

Nafasi ya kazi ni taaluma pia za watu, Huna taaluma ya madini unataka upewe nafasi

Mambo ya dini yajadiliwe huko makanisani na misikitini au kwenye Temples


Jina kama" Mwakatapanya Mwaitende Mwakafilombe" ni Dini gani huyu
"Hili jambo la dini watu wanajadili ooh mwalimu ana ubaguzi katika teuzi zake nikalisikia nikafanya research yangu ndogo nikakuta wakatoliki tupo wawili mimi na nani mwingine?watu wakataja sir George kahama tena mwenzangu ameendelea ana kina mama wawili ni ujinga tu kujua dini ya mtu sisi dini yake inatuhusu nini? Mwalimu nyerere nimemnukuu
 
Back
Top Bottom