Yani Pascal Mayalla siku hizi anaadresiwa kama Mzee? Maajabu kweli kweli. Yani huku19 September 2025
RAIS SAMIA AMEMZIDI MAGUFULI, TUME INEC IMEWEKA USAWA, HATUKUPASWA KUWA MASIKINI - MZEE PASCHAL MAYALA
View: https://m.youtube.com/watch?v=oftPkSsFP4I
Wa kuwa ni demokrasia basi sina budi kukubaliana na maoni yake.19 September 2025
RAIS SAMIA AMEMZIDI MAGUFULI, TUME INEC IMEWEKA USAWA, HATUKUPASWA KUWA MASIKINI - MZEE PASCHAL MAYALA
View: https://m.youtube.com/watch?v=oftPkSsFP4IMwandishi mkongwe mzee Paschal Mayala akiwa studio. Nguli huyu wa tasnia ya habari pia ni mwanachama hai /active katika mijadala JamiiForums.
- Ahadi za majukwaani
- Mgombea kasema nini
- watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora
- Uwezeshaji mikopo asilimia 10 ktk Halmashauri
- Uhuru wa Habari ni nguvu ya kufanya maamuzi sahihi (Informed decision)
- Vijana hawapati mikopo, kina mama wanapendelewa
- N.k