Rais Samia ameongea na wenzake kwa vitendo

Rais Samia ameongea na wenzake kwa vitendo

Ngoja Sukuma gang waje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngonjera nyiingi, kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Nikuulize tu, hela alizotenga bilion 100 za ruzuku ya mafuta nini kimemfaidisha mtumiaji wa mwisho? Nauli au bei za bidhaa zimeshuka? Mnapigwa danadana sana, bei ilitakiwa ifike 3500 nani aliipanga hiyo? Tuoneshe nchi ambazo mwezi wa 6 mafuta yamepanda bei tena [emoji16][emoji23][emoji16]
Acha kulialia mzee wa legacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kulialia mzee wa legacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nini hiyo legacy? Askari wa akina samia walikuwa na shabaha sana risasi zote zile wasingemkosa lissu.
 
Unajisemea wewe kwa sababu unalipwa kila ukipost. Umeshiba humjui mwenye njaa. Hujatembelea watu mitaani. Hakuna palipobadirika. Na kila kukicha heri ya jana. Tozo juu,Nauli juu,cementi juu,vyakula juu,pembejeo juu,kila kitu kiko juu. Unapandisha mafuta Tsh.1000. Unashusha Tsh.300. Halafu mnakuja kusifia anaupiga mwingi. Mwingi kwenda wapi? Nyuma?. Akina Mwiguru wanampotosha mama na matozo yasiyo na tija. Tozo zinaishia mifukoni
NB:- wewe ndio Steve yule chiz wa bongo movie,mpenda sifa?.
Wazee wa legacy aka Sukuma gang mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema njoo kitaa uone hali halisi, kwani sisi hatuishi huko kitaa bali tunatokea sayari nyingine kabisa
 
Ungepunguza chuki kabla ya hoja yako wapi watu wanalia hali ngumu…?
ID za kimkakati
Ikiwa watu hawalii hali ngumu ilikuwaje raisi akatoa hotuba kuhusu kilio na kusema wanakuja na solution?
 
Wazee wa legacy aka Sukuma gang mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema njoo kitaa uone hali halisi, kwani sisi hatuishi huko kitaa bali tunatokea sayari nyingine kabisa
Hivi ni kweli kila anayempinga raisi ni mfuasi wa mwendazake?
 
Pamoja na kupanda kwa nauli umesaidia revolving fund kwenye mzunguko hela inapatikana watu hawalii ukata.
Huu sasa ni uongo ingekua kupanda kwa bei za bidhaa ni kupunguza ukata basi Zimbabwe na Sudan zingekuwa nchi zenye uchumi mkubwa duniani
 
Ndo nini hiyo legacy? Askari wa akina samia walikuwa na shabaha sana risasi zote zile wasingemkosa lissu.
Nakumbuka hii kauli ilitolewa kipindi cha mwendakuzimu, jamaa alikuwa muuaji hatari sana. Kumbe unakumbuja mkuu?
 
Hivi ni kweli kila anayempinga raisi ni mfuasi wa mwendazake?
Siyo kweli, lakini Sukuma gang wao walionyesha nia ya kumpinga Mama toka mwanzo, so wapo wanaompinga na wala siyo Sukuma gang wala wazee wa legacy.
 
Huu sasa ni uongo ingekua kupanda kwa bei za bidhaa ni kupunguza ukata basi Zimbabwe na Sudan zingekuwa nchi zenye uchumi mkubwa duniani

Kwakuwa shule hujasoma the higher the demand the higher the supply. Watu wana afford na kinachotokea sudan na zimbabwe mzunguko wa hela ni mdogo na bidhaa ni adimu kenge wewe.
 
Back
Top Bottom