Rais Samia ameongea na wenzake kwa vitendo

Ngoja Sukuma gang waje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kulialia mzee wa legacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kulialia mzee wa legacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nini hiyo legacy? Askari wa akina samia walikuwa na shabaha sana risasi zote zile wasingemkosa lissu.
 
Wazee wa legacy aka Sukuma gang mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema njoo kitaa uone hali halisi, kwani sisi hatuishi huko kitaa bali tunatokea sayari nyingine kabisa
 
Ungepunguza chuki kabla ya hoja yako wapi watu wanalia hali ngumu…?
ID za kimkakati
Ikiwa watu hawalii hali ngumu ilikuwaje raisi akatoa hotuba kuhusu kilio na kusema wanakuja na solution?
 
Wazee wa legacy aka Sukuma gang mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema njoo kitaa uone hali halisi, kwani sisi hatuishi huko kitaa bali tunatokea sayari nyingine kabisa
Hivi ni kweli kila anayempinga raisi ni mfuasi wa mwendazake?
 
Pamoja na kupanda kwa nauli umesaidia revolving fund kwenye mzunguko hela inapatikana watu hawalii ukata.
Huu sasa ni uongo ingekua kupanda kwa bei za bidhaa ni kupunguza ukata basi Zimbabwe na Sudan zingekuwa nchi zenye uchumi mkubwa duniani
 
Ndo nini hiyo legacy? Askari wa akina samia walikuwa na shabaha sana risasi zote zile wasingemkosa lissu.
Nakumbuka hii kauli ilitolewa kipindi cha mwendakuzimu, jamaa alikuwa muuaji hatari sana. Kumbe unakumbuja mkuu?
 
Hivi ni kweli kila anayempinga raisi ni mfuasi wa mwendazake?
Siyo kweli, lakini Sukuma gang wao walionyesha nia ya kumpinga Mama toka mwanzo, so wapo wanaompinga na wala siyo Sukuma gang wala wazee wa legacy.
 
Huu sasa ni uongo ingekua kupanda kwa bei za bidhaa ni kupunguza ukata basi Zimbabwe na Sudan zingekuwa nchi zenye uchumi mkubwa duniani

Kwakuwa shule hujasoma the higher the demand the higher the supply. Watu wana afford na kinachotokea sudan na zimbabwe mzunguko wa hela ni mdogo na bidhaa ni adimu kenge wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…