Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

Tanganyika nzima hamtaki mama
 
We ni bwege subiri uchaguzi Samia atashinda kwa zaidi ya 90%, zombie km wewe unaweza kumshauri nani
Kushinda uchaguzi ni Hadi,

1. Pawepo Uchaguzi.

2. Apitishwe kugombea.

3. Agombee.

4. Ashinde.

Sasa hayo yote bado kufanyika maana Tume haijapuliza kipenga, na Reforms hazijafanyika bado kuruhusu kuwepo kwa mazingira ya No 1. Hapo juu.

Tafakari vyema.
 
Tutarara nae mbereeee hatumutaki
 
Umedanganywa na nani hayo? Mimi nipo Kanda ya Ziwa na mzawa wa Kanda ya Ziwa. Kakudanganya nani?
 
Kwamba!
 
Wanaamini kwnye mabunduki so tuache tuone.

Muda utaongea labda watapeleka mapolisi makmkm na majeshi vinginevyo mkwe kijana ataunda matokeo ofisini kwake na kutangaza kama ya serikali za kitaa
 
We bwege nenda kaharishe huo uvundo, nchi yetu haiendeshwi kikanda. Hakuna mtanzania mwenye akili atamzingatia yule tapeli anayedai anafufua wafu. Ht hivyo acha kuwaza kipumbavu eti kuna kanda ndio inaamua Rais wa nchi hii, acha kuwaza upuuzi.
Jibu hoja yake bila matusi...unakua kama umekalia mpini wa jembe na nyundo
 
Umedanganywa na nani hayo?
 
Ushawishi wa Samia, labda huko Zanzibar. Maana huko hawatekwi, hawauawi, na wameongezewa mgao wa pesa za misaada na mikopo, na hela ya Tanganyika inatumika kuijenga Zanzibar, kupitia mikopo ambayo mkopaji na mlipaji ni Tanganyika.
 
Wapi umesikia au kuona sa100 anaungwa mkono my friend?

Duniani kote hakuna Nchi Ina muunga mkono Samia Wala usiende mbali Angalia hapo Kenya tu halafu ulete jibu
 
useless and completely nonsense article πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…