Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

Hiyo namba 2 si kweli!! Labda chadema ila kwa ambao bado akili hazijawaruka, wapenzi wa dhati wa Magufuli hawawezi wakaacha mapenzi kwa Mwendazake wakayahamishia kwa mtu ambaye hakubakisha tusi la kumtukana Magu alipokuwa hai!! Hawajasahau!!!
 
Hiyo namba 2 si kweli!! Labda chadema ila kwa ambao bado akili hazijawaruka, wapenzi wa dhati wa Magufuli hawawezi wakaacha mapenzi kwa Mwendazake wakayahamishia kwa mtu ambaye hakubakisha tusi la kumtukana Magu alipokuwa hai!! Hawajasahau!!!
Wanapenda misimamo isiyoyumba ya Lissu inawakumbusha Magufuli

Pia wanaheshimu fact kuwa ni mtu aliyesimama man to man na shujaa wao, hilo kwao linawapa heshima

Pia wanaamini kuwa Lissu ni mzalendo.mwenye kusimamia maslahi ya nchi hii, siyo fisadi, hapendi rushwa na ni msema kweli
 
Kanda ya Ziwa wanaamini Samia na Kikwete walimuua Magufuli kwa maslahi yao binafsi.
Ili kujikombakomba walimuchukua Makonda kama Mwenezi ambaye kwa siasa za Samia ni kama Makonda alikua popular kuliko Samia...Badae ndo wakaja kumchukua Wassira ili ku-balance mambo.
SIO WANAWAKE SIO WANAUME
SIO VIJANA SIO WAZEE.
SIO WACHAWI SIO WAGANGA
SIO WAKULIMA SIO WAFUGAJI
SIO WAVUVI SIO WAVIVU
SIO WAPORI SIO WAMJINI JINI
SIO HOHE HAYE SIO WALUGALUGA
KANDA YA ZIWA HAWAMPENDI SAMIA
 
Nyie wapinzani tuaachieni samia wetu

Tumempenda wenyewe waaaaa🤗
 
Majirani zetu wa hapo KENYA wanasemaje? 😃😃😃
 
We bwege nenda kaharishe huo uvundo, nchi yetu haiendeshwi kikanda. Hakuna mtanzania mwenye akili atamzingatia yule tapeli anayedai anafufua wafu. Ht hivyo acha kuwaza kipumbavu eti kuna kanda ndio inaamua Rais wa nchi hii, acha kuwaza upuuzi.
Unahoja zilizochanganyikana kama ubongo wako

Usipo mwelewa gwajima, tafadhari ujisemee wewe na siyo kusemea watanzania wote
 
Magufuli alishaua upinzani Tanzania yaani na alishawatengenezea njia wanaobaki siasa hazina mvuto wala ushawishi kwa sasa kwa watanzania wengi ukiacha haya matukio ya kuforce sana kutengeneza taharuki kimsingi hayana mtikisiko wa kisiasa kwa kiwango kikubwa labda yajengwe kivingine yataleta msisimko wa siasa .
 

Mnasahau John Mnyika ni Msukuma mama yake Mpare
 

Magufuli hajawahi kuuwa upinzani na hakuna mtu anaweza hilo. Kunyamazisha watu sio kuuwa upinzani! Ndiyo maana bado wapo. Huwezi kuuwa imani za mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…