Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

We bwege nenda kaharishe huo uvundo, nchi yetu haiendeshwi kikanda. Hakuna mtanzania mwenye akili atamzingatia yule tapeli anayedai anafufua wafu. Ht hivyo acha kuwaza kipumbavu eti kuna kanda ndio inaamua Rais wa nchi hii, acha kuwaza upuuzi.
Mkuu endelea kuvaa miwani ya mbao, ni haki yako!
 

Hata yeye Magufuli alidhani keshaua upinzani akashangaa kwenye kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 wapinzani wana nguvu ajabu, akaamua auibe uchaguzi mazimamazima.
Huwezi kuua upinzani nchini ila inaweza kunyamaxisha wachache
 
Amechelewa sana na atambue kanda ya ziwa ndo kila kitu.
 
Mimi binafsi siwezi kupigia kura CCM ya sasa
 
Magufuli mwenyewe Ali win kanda zote kwa Bunduki, Mambo Magumu haya, ccm ilishajifia mda sana!
Na ndio aliyepandikiza huu wizi wa kura wa wazi wa mtutu wa bunduki.
 
We bwege nenda kaharishe huo uvundo, nchi yetu haiendeshwi kikanda. Hakuna mtanzania mwenye akili atamzingatia yule tapeli anayedai anafufua wafu. Ht hivyo acha kuwaza kipumbavu eti kuna kanda ndio inaamua Rais wa nchi hii, acha kuwaza upuuzi.
Hebu kuwa reasonable hata kwa sekunde kumi tu! Hivi unajua Kanda ya Ziwa ina wapigakura wangapi?
 
Kwani kuna mwaka ambao ccm alikubalika?
 
 
Kanda zote zimemkataa labda huko Kisarawe kwa Mkwe na Kizimkazi.
Jidanganye tu huku mtandaoni kuwa Rais hawamtaki, lakini ki uhalisia kwa mambo ya maendeleo aliyoyafanya Rais Samia huko mikoani tunamkubali mno.
 
Jidanganye tu huku mtandaoni kuwa Rais hawamtaki, lakini ki uhalisia kwa mambo ya maendeleo aliyoyafanya Rais Samia huko mikoani tunamkubali mno.
Kwanini sasa kapora uchaguzi wa serikali za mitaa na anataka kupora na uchaguzi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…