Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

Mpina naye jana kapiga spana huko Kisesa kanda ya ziwa. Anasema hataki mambo ya utekaji.
 
Hata kama atashinda kwa sababu ya uchague picha au kivuli ndie mshindi atakaepita kwa kura chache sana tangu kuumbwa kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…