KabisaNi ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Ana deni la katiba mpya...Hana deni
Umeshampigia kura, the best TRYANT OF THE YEAR 2025, hapa hana mpinzani, lazima aondoke na 100%. Wengi wetu tumeshapiga kura tayari.Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
HakikaTusubri 2030s huko
Ameen, ameen, ameenMungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Wakishapiga kura, na sisi tutawaongezea za ziada, Samia lazima abebe hiyo tuzo. It fits her wellChama chenye watu wengi nchini ni chama cha CCM
Inaweza kuibuka taasisi nyingine ikaweka majina kumi na kusema piga kura ya rais bora wa mwaka na samia akawemo na pia akashinda,Wakishapiga kura, na sisi tutawaongezea za ziada, Samia lazima abebe hiyo tuzo. It fits her well
Labda uweke wewe, au CCM, ila Taasisi zinazojitambua haziwezi kumuweka kwenye hiyo list, she is a blood killer. Unadhani kuua watu 10000 ndani ya saa 72 ni mchezo?Inaweza kuibuka taasisi nyingine ikaweka majina kumi na kusema piga kura ya rais bora wa mwaka na samia akawemo na pia akashinda,
So hapo kwenye kura hamna shida ni maoni tu yanaweza kuwa ya ubora au sio ubora inategemea na taasisi tu, na taasisi nyingi tu
Bunge la katiba ni upigaji tu ule bora hiyo Hela iongeze ruzuku za pembejeo za kilimo, iongeze mishahara watu wawe na Hela mitaani tuendelee kutamba na Rais wetu Dr Samia Suluhu HassanKATIBA NI KITABU NA KARATASI
WHAT MATTER MOST IS integrity
Hata hayo ni maneno tu unasema, ukiambiwa ushahidi hauna,Labda uweke wewe, au CCM, ila Taasisi zinazojitambua haziwezi kumuweka kwenye hiyo list, she is a blood killer. Unadhani kuua watu 10000 ndani ya saa 72 ni mchezo?