Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Ila kwa sasa ni rais anayechukiwa zaidi na wananchi wake, ukiacha nyie wa kulipwa kupaka kinyesi rangi, zaidi ya 70% ya watanzania hawampendi, na katika hao kuna 55% ya wanaomchukia, hence hiyo taasisi ikamweka hapo pamoja na wakongwe kama trump ambaye hakunavshaka yoyote kuwa anaongoza kuwa na maadui wengi hasa wa nje ya nchi yake, uniqueness ya samia ni kuwa anachukiwa zaidi na wananchi wake mwenyeweInaweza kuibuka taasisi nyingine ikaweka majina kumi na kusema piga kura ya rais bora wa mwaka na samia akawemo na pia akashinda,
So hapo kwenye kura hamna shida ni maoni tu yanaweza kuwa ya ubora au sio ubora inategemea na taasisi tu, na taasisi nyingi tu
Bunge la katiba ni upigaji tu ule bora hiyo Hela iongeze ruzuku za pembejeo za kilimo, iongeze mishahara watu wawe na Hela mitaani tuendelee kutamba na Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Tatizo takwimu zenu zinatoka kanisani, uimara na ukweli wake ni zero, vhuki na husda ndio kipaumbele,Ila kwa sasa ni rais anayechukiwa zaidi na wananchi wake, ukiacha nyie wa kulipwa kupaka kinyesi rangi, zaidi ya 70% ya watanzania hawampendi, na katika hao kuna 55% ya wanaomchukia, hence hiyo taasisi ikamweka hapo pamoja na wakongwe kama trump ambaye hakunavshaka yoyote kuwa anaongoza kuwa na maadui wengi hasa wa nje ya nchi yake, uniqueness ya samia ni kuwa anachukiwa zaidi na wananchi wake mwenyewe
Tuliomchagua hatumchukii kwasababu ni kura yetu na tunaona vile kura zetu zinatufanya kaziIla kwa sasa ni rais anayechukiwa zaidi na wananchi wake, ukiacha nyie wa kulipwa kupaka kinyesi rangi, zaidi ya 70% ya watanzania hawampendi, na katika hao kuna 55% ya wanaomchukia, hence hiyo taasisi ikamweka hapo pamoja na wakongwe kama trump ambaye hakunavshaka yoyote kuwa anaongoza kuwa na maadui wengi hasa wa nje ya nchi yake, uniqueness ya samia ni kuwa anachukiwa zaidi na wananchi wake mwenyewe
Ni mafundisho ya dini yaliyo sahihi ndio huzaa hayo, uwezo mkubwa anao na uadilifu na karama amepewaKuongoza ni karama tu, Samia anauwezo mkubwa wa kiuongozi. Lakini tusihusishe na dini yake
Acha hiyo story ya 98% ni aibu sana, afadhali yeye samia alijishtukia kidogo akasema ni 98% kati ya kura zote alizopigiwa, so inaweza kuwa ni 98% kati ya kura halali 4,000,000 tu, ila kura 32 million hiyo ni uongo wa hovyo na wa kutia kinyaa!Tatizo takwimu zenu zinatoka kanisani, uimara na ukweli wake ni zero, vhuki na husda ndio kipaumbele,
Ushahidi kwamba mama anapendwa ni 98% ya kura alizopigiwa,
Sasa nyie leteni takwimu zenu za mchongo
Sio mimi mkuu ni takwimu kutoka taasisi makini chini y a serikali makini,Acha hiyo story ya 98% ni aibu sana, afadhali yeye samia alijishtukia kidogo akasema ni 98% kati ya kura zote alizopigiwa, so inaweza kuwa ni 98% kati ya kura halali 4,000,000 tu, ila kura 32 million hiyo ni uongo wa hovyo na wa kutia kinyaa!
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ni international figure misimamo yake ya kiuongozi inafananishwa na akina Putin, yule Rais wa India, Trump, ni Marais wachache wasio ruhusu na kuogopa mashinikizo ya MATAIFA mengine kama vile MATAIFA ya ulayaTz imeweka rekodi duniani kuongozwa low iq president, imagine samuya anakaa kwenye round table ya kujadili masuala mbalimbali na marais kama Ruto, Mu7, Kagame nk
Anatosha kuteka na kuua, ndo kazi anayoiwezaHata hayo ni maneno tu unasema, ukiambiwa ushahidi hauna,
Yeyote anaweza kusema,
Ni kazi ya mdomo
Mama anatosha
Umemjibu kitaalamu sanaMh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ni international figure misimamo yake ya kiuongozi inafananishwa na akina Putin, yule Rais wa India, Trump, ni Marais wachache wasio ruhusu na kuogopa mashinikizo ya MATAIFA mengine kama vile MATAIFA ya ulaya
Hasa kwenye kipengere cha utekaji na MauajiNi ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿