MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Rais Samia Suluhu Hassan leo Desemba 30, ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro kufuatia kifo cha aliyekuwa mchezaji nguli wa mpira wa miguu wa nchi hiyo Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’ aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 82.View attachment 2463670
Acha kuharibu uziIla kuwahusu Ben, Azory, Lijenje na wenzao hana chozi?
Wewe mbona ndiye umeuharibu sasa?Acha kuharibu uzi