Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024.
Kupitia ujumbe wake, Rais Samia amesema, "Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natuma pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa ushindi wako wa kihistoria."
Pia, Soma: Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia
Aidha, Rais Samia ameongeza kuwa anatarajia kushirikiana na Rais huyo mteule katika kuimarisha uhusiano wa kidugu na wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia.