Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Sasa mashujaa wetu makocha wa wizi wa kura wanaweza kurudi na kupokelewa kwa kishindo na rais.Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024.
View attachment 3168409
Kupitia ujumbe wake, Rais Samia amesema, "Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natuma pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa ushindi wako wa kihistoria."
Pia, Soma: Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia
View attachment 3168411
Aidha, Rais Samia ameongeza kuwa anatarajia kushirikiana na Rais huyo mteule katika kuimarisha uhusiano wa kidugu na wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia.
View attachment 3168410
Kwamba watu watatekwa na kuuawa,......,Namibia wamejichanganya. Watalia na kusaga meno
Afrika Sasa Ina Marais wanawake 2Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024.
View attachment 3168409
Kupitia ujumbe wake, Rais Samia amesema, "Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natuma pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa ushindi wako wa kihistoria."
Pia, Soma: Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia
View attachment 3168411
Aidha, Rais Samia ameongeza kuwa anatarajia kushirikiana na Rais huyo mteule katika kuimarisha uhusiano wa kidugu na wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia.
View attachment 3168410
Sasa mashujaa wetu makocha wa wizi wa kura wanaweza kurudi na kupokelewa kwa kishindo na rais.
Acha waisome namba.Namibia wamejichanganya. Watalia na kusaga meno
Huko kote hakuna wezi, sisi ndio tunaowapelekea makocha wa wizi na matokeo huwa tunayanua kabla hata ya kumaliza kuhesabu kura.Hakuna Cha wizi , wapinzani ndio walijichanganya. Kule huwa hakuna wizi. Wizi upo Msumbiji na Zimbabwe. Angola walishatoka huko.
🤣🤣🤣Namibia wamejichanganya. Watalia na kusaga meno
Bwana Mayalla you were a good customer and a friend of mine. Lakini siku hizi naona umegeuka chawa wa mama. Hiyo ni list of oresidents/acting presidents. Ujabali wake uko wapi?Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024.