J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Apr 9, 2021 #1 Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru. Source BBC Dira ya Dunia
Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru. Source BBC Dira ya Dunia
M Mpanda nyangobe JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 762 Reaction score 1,688 Apr 9, 2021 #2 Imekuwaje tena mabeberu mmeanza kuyatumia salamu...
Dickson Edwin Mgaya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 513 Reaction score 1,422 Apr 9, 2021 #3 Safi! Tunaenda kuboresha international relationship with external world!
I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 Apr 9, 2021 #4 Kujipendekeza tu
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Apr 9, 2021 #5 Hizo salamu zikowapi tuzione?