GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akili zingine bwana!!

Lengo ionekane yeye ndiye alitangulia kutengua hiyo July 16!!

Ilhali hivi majuzi waziri wa mambo ya nje alidai kuna mambo ya kisheria wanafuatilia kabla ya kuchukua hatua.
 
Nadhani unachanganya kati ya mtu kuwa balozi na mtu kuwa balozi. Hadhi ya balozi haitoi sifa nyingi kati ya hizo ulizoandika.
 
Polepole alijua nini kingefuata na hakuna cha kushangaza kwake
 
Mtu alijiuzulu unatenguaje wangesema amekubali ombi la kujiuzulu.
 
Tangu jamaa aanze kuwachapa upper cuts za uso, Chura Kiziwi na genge lake, wamekaa weeee, wakafikiri namna ya kutoka kwenye mess walioitengeneza wenyewe, eti leo ndo wamekuja na plan ya kijinga na kipumbavu hii kama mlango wao wa kutokea...

Lakini bahati mbaya kwao ni kuwa, hata huo mlango walioupata wakidhani umewatoa nje, wamejikuta wametokea kwenye ua uliozungushiwa ngome ya ukuta wa Yeriko na hivyo wataendelea kutangatanga humo unless Mungu awasaidie kutoka....!

Ili Mungu awasaidie, lazima waipende na kuitenda HAKI maana Mungu wanayemtaka awasaidie si Mungu wa muhuni na mpenda dhuluma bali ni Mungu wa HAKI....

Hebu jaribu kufikiri....

Inawezekanaje barua ya tarehe 16/7/2025 ya "uamuzi" eti ndo inatolewa leo baada ya karibu mwezi mzima kupita..!!!???

Ni wazi Polepole aliwafanyia timing ya kufa mtu, akawapiga chenga hatari ya mwili na kuwapiga goli 5 bila za fast fast na kuwaacha wamechanganyikiwa...

Na ndiyo maana tunasema huyu Chura Kiziwi na genge lake la utekaji na mauaji hawana akili wala ufahamu na kwa hiyo hafai kukalia kiti cha u - Rais hata kwa sekunde moja tu ijayo...!!
 
Sisi bado tunamtambua ni balozi mstaafu
 
Faida ni nyingi SANA za ubalozi ikwemo. Kulindwa, connection ya mataifa MENGNE, KUTO kutozwa Kodi kwa bidha Fulani zinazo enda KWAKE. HAPO fursa ya michongo kiulaini pia huwa wanaishi kifahari SANA.



Kwishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…