Hata hainogi kabisa. Kizimkazi naona kachemka kweli kweli. Unatenguaje mtu Ubalozi na kumwachisha utumishi wa umma mtu aliyejiudhuru kwa hiari yake. Naona lengo ni kumnyima haki zake za kiutumishi.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Kwani haujui mkuu kuwa serikali hukata kona kama Meli? Hizo ni procedure za kiserikali (ziko hivyo ili kuondoa dhana ya one man show).. hata sioni sababu ya kumuattack samia katika hili. Ilifahamika baada ya HP kufanya vile hadhi yake ya ubalozi ingeondoshwa na hatakiwa wa kwanza wala wa mwisho.Chura Kiziwi na genge lake, wametafuta mahali au mlango tu wa kutoke from their mess...
Lakini bahati mbaya hata huo walioupata wakidhani umewatoa nje, wamejikuta wametokea kwenye ua uliozungushiwa ngome ya ukuta wa Yeriko....!
Utenguzi wa tarehe 16/7/2025 ndo unautangaza baada ya karibu mwezi mzima kupita..!!!???
Ndiyo maana tunasema huyu Chura Kiziwi na genge lake la utekaji na mauaji hafai kukalia kiti cha u - Rais hata kwa sekunde moja tu ijayo...!
Ni ujinga mtupu wamefanya.Akili zingine bwana!!
Lengo ionekane yeye ndiye alitangulia kutengua hiyo July 16!!
Ilhali hivi majuzi waziri wa mambo ya nje alidai kuna mambo ya kisheria wanafuatilia kabla ya kuchukua hatua.
Hii haiwezi kuwa breaking news hata kwa sekunde. Ilitarajiwa mapema kabisa toka ile barua iliposambaa.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
alijiuzulu tu ubalozi lakini bado alikuwa na hadhi ya balozi mpaka pale alipotenguliwa.Mtu aliyehama mwenyewe nyumbani mwako utasema umemfukuza? Wanaojua sababu ya kuhama kwake watakuelewaje unaposema umemfukuza?
Samia bwaana!Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Nani sio mwizi? Em Muache mzee wa watu, aliyopitia yanatosha sana, khaaahMzee mwizi Sana yule, nadhani ndo anaongoza kua na ardhi nyingi Kwa hapa tanzania
WazushiJF mods mnazingua sana aisee, sasa hiyo ni breaking news kweli au Hilo neno "breaking news " mnalichukuliaje?
P?
Bila shaka Polepole alikuwa anajua ni nini kinatokea. Na wengi tunajua kuwa kinachofuata ni kufukuzwa uanachama wa CCM.Hata hainogi kabisa. Kizimkazi naona kachemka kweli kweli. Unatenguaje mtu Ubalozi na kumwachisha utumishi wa umma mtu aliyejiudhuru kwa hiari yake. Naona lengo ni kumnyima haki zake za kiutumishi.
Amtengue basi na wanachama wa chama cha mambuzi.
Amepitia yapi, laingwanani kala Bata karibu maisha yake yote, kapata karibu Kila kitu alichokua anahitaji kasoro kua namba Moja tuNani sio mwizi? Em Muache mzee wa watu, aliyopitia yanatosha sana, khaaah
Ndo hiyo no 1, mbna majizi wengine walipata hiyo no? WhY not him?Amepitia yapi, laingwanani kala Bata karibu maisha yake yote, kapata karibu Kila kitu alichokua anahitaji kasoro kua namba Moja tu
Uko sahihi kabisa. Jamaa anachanga wakati mtu anapokuwa balozi wa nchi fulani na baada ya kumaliza muda wake na kubaki kama mstaafu.Nadhani unachanganya kati ya mtu kuwa balozi na mtu kuwa balozi. Hadhi ya balozi haitoi sifa nyingi kati ya hizo ulizoandika.
Vip jambo la julay lilifeli mkuu au?Huyu mama tulipata hasara kweli
Hana tofauti na chura kiziwi, asingeleta impact yoyote ofisini huyoNdo hiyo no 1, mbna majizi wengine walipata hiyo no? WhY not him?