GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kitakachofuata ni kumfukuza CCM.

Haya maCCM yanafikiri hii nchi ni yao peke yao hasa hawa WANAMTANDAO.

Polepole aendelee kukaza kamba. Maumivu wanayasikia ndiyo maana wamereact haraka.
 
Too late
Alishajiondoa
 
Alisema toka siku ya kwanza haitaji hayo marupurupu ndio maana kila siku anashambulia
Na nafikiri alikuwa anasubiri hii move kwa hamu sana,juzi kasema huu mchezo kajipanga haswa,nafikiri sasa anaenda kuachia maushaidi jinsi Samia na Kikwete walivyohusika kwenye ule mchezo wa kuanzia 2020 mpaka March 2021
 
Bunge limeshavunjwa,

Hili likumbukwe.
Kwa hiyo tupo autopilot? Sidhani kama ni kweli kuvunjwa kwa bunge kuna mfanya Rais asiendelee na kazi zake. Ndiyo, maana hata rais anayeondoka madarakani...kabla rais mteule hajaapishwa bado yule rais anayeondoka anaendelea kufanya kazi za urais.
 
Na nafikiri alikuwa anasubiri hii move kwa hamu sana,juzi kasema huu mchezo kajipanga haswa,nafikiri sasa anaenda kuachia maushaidi jinsi Samia na Kikwete walivyohusika kwenye ule mchezo wa kuanzia 2020 mpaka March 2021
Huyu slow slow,hama kitu kichwani,badala ya kupeleka barua kwa qliye muajiri ya kujiuzulu,anapeleks mitandaoni,akili ni mali.
 
Hakuna kitu mnaweza fanya kwa polepole,Tanzania imeshajichokea,na Kagame anawatafutia timing tu
 
Kwa hiyo tupo autopilot? Sidhani kama ni kweli kuvunjwa kwa bunge kuna mfanya Rais asiendelee na kazi zake. Ndiyo, maana hata rais anayeondoka madarakani...kabla rais mteule hajaapishwa bado yule rais anayeondoka anaendelea kufanya kazi za urais.
Na ndio.ukweli huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…