Bali wanahitaji mtekaji ikulu.UPUMBAVU mtupu! Umesikia watanzania wanahitaji mjuvi wa siasa ikulu??
We ni mk**du kweli unaleta uchawa wako wa ki**nge hapa! Alitekwa babako?Bali wanahitaji mtekaji ikulu.
Tunamshukuru Mungu kutuondolea yule mwovu kwenye uso wa duniaNajua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Tofauti ys magufuli na wapumbavu ni moja tu magufuli alikuwa anajenga uchumi wakati wapumbavu wanajenga siasa na kuua uchumi...swali ukiambiwe uchague kiongozi mwenye kuangaika na siasa au kiongozi mwenye kuangsikia uchumi utachagua nini ?Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Anajenga uchumi kwa kuteka na kuua watu? Kiko wapi sasa?Tofauti ys magufuli na wapumbavu ni moja tu magufuli alikuwa anajenga uchumi wakati wapumbavu wanajenga siasa na kuua uchumi...swali ukiambiwe uchague kiongozi mwenye kuangaika na siasa a8 kiongozi mwenye kuangsikia uchumi utachagua nini ?
Samia ana akili na busara ndiyo maana nchi imetulia. Magufuli alikuwa na kichaa kilichomjaza HASIRA na KIBURI.Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Kama Magufuli angekuwa hai yawezekana angemuua baba yako wewe Gladiator4440, sijui kama ungepata muda wa kuandika pumba hizo hapoWe ni mk**du kweli unaleta uchawa wako wa ki**nge hapa! Alitekwa babako?
Kwanini wasiuliwe hata mitume na manabii waliua sana watu wapumbavuAnajenga uchumi kwa kuteka na kuua watu? Kiko wapi sasa?
Watu wanawaza maendeleo wew unapigia promo siasa?Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Amen !!!Samia ana akili na busara ndiyo maana nchi imetulia. Magufuli alikuwa na kichaa kilichomjaza HASIRA na KIBURI.
Aendelee kuungua na moto huko jehanam