Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Tatizo umekalia kidole cha asali, chawa wenzio wanalamba kwa mdomo wewe umekalia mku***ni!Kama Magufuli angekuwa hai yawezekana angemuua baba yako wewe Gladiator4440, sijui kama ungepata muda wa kuandika pumba hizo hapo
Nchi imetulia wakati maji shida, umeme shida,bei zimepanda na hapo bado watu wanalamba asali na kukata keki ikulu huku nchi ikienda hovyo hovyo! UPUUZI MTUPU!Samia ana akili na busara ndiyo maana nchi imetulia. Magufuli alikuwa na kichaa kilichomjaza HASIRA na KIBURI.
Aendelee kuungua na moto huko jehanam
Mama samia SIASA hajaijua akiwa Makamu wa Rais Magufuli hakuwahi kumpa nafasi Mama ya kuongoza Nchi ili Ajifunze kwani MAGUFULI mwenyewe alikuwa mwanafunzi ndio maana Akawa hsta KATIBA anaivunja huku aliapa kuitetea na KuitekelezaMarehemu Rais Magufuli hakuwa Makamu wa Rais kabla ya kuwa Rais. Yako mengi Rais Samia amejifunza awamu iliyopita na mengine amelazimika kuyafanya kutokana na pressure za watu watu na taasisi. Na pia marais ni watu tu,huwa hawafanani. Madaraka,Fedha na Umaarufu kila mmoja anavibeba kwa namna yake.
Kuna mazezeta humu yanapinga Magufuli aliparamia siasaJPM mwenyewe amekiri mara nyingi hajui siasa! Mimi nafikiri akili ya siasa mabingwa Taifa hili ni Philip Mangula na Kinana.
Kuna kipindi Kinana alistaafu siasa akalazimika kurudi pale Mkapa alipoona mambo yanaenda vibaya. Vile vile kwa Philip Mangula. Ukitaka siasa za diplomasia Kinana ni mfalme na siasa za kibabe Mangula ni fundi.
Naamini hawa wamekuwa injini ya siasa zetu muda mrefu na Marais hupewa sifa lakini hawa ndio masterminds.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Bado hujapanick vizuri, utapanick sana.We ni mk**du kweli unaleta uchawa wako wa ki**nge hapa! Alitekwa babako?
Wanakutindua kweli kama jina lako lilivyoBado hujapanick vizuri, utapanick sana.
Basi tuseme wanamtaka mamakoUPUMBAVU mtupu! Umesikia watanzania wanahitaji mjuvi wa siasa ikulu??
Mamako alitekwa na aliliwa jicho sema hakusemaWe ni mk**du kweli unaleta uchawa wako wa ki**nge hapa! Alitekwa babako?
Acheni uwongo! Wapi hakuna umeme leo Tanzania?Nchi imetulia wakati maji shida, umeme shida,bei zimepanda na hapo bado watu wanalamba asali na kukata keki ikulu huku nchi ikienda hovyo hovyo! UPUUZI MTUPU!
Samia hatumii nguvu nyingi ila ana impact kubwa hatariNajua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Sio siasa tu, hadi uchumi kamzidi kwa mbaliMbali na kutojua siasa Magu pia alikuwa mjinga
Alikufanyia ukatili ee?Bali wanahitaji mtekaji ikulu.
Mtadanganywadanganywa na tubunge tuwili tutatu. Mpewe Kambi ya Upinzani Bungeni lakini kukabidhiwa Serikali labda ije dunia mpya!Bali wanahitaji mtekaji ikulu.
Mtadanganywadanganywa na tubunge tuwili tutatu. Mpewe Kambi ya Upinzani Bungeni lakini kukabidhiwa Serikali labda ije dunia mpya!